Karne ya 5 KK
Mandhari
(Elekezwa kutoka Karne V K.K.)
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
Milenia ya 1 |
►
◄ |
Karne ya 7 KK |
Karne ya 6 KK |
Karne ya 5 KK |
Karne ya 4 KK |
Karne ya 3 KK |
►
Karne ya 5 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 500 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 401 KK.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Karne V KK inahesabiwa na wengi kuwa muhimu sana katika historia ambapo waliishi wanafalsafa mbalimbali na waanzilishi wa dini kubwa
- 492 KK: Mfalme Dario I wa Uajemi anashambulia Ugiriki kwa mara ya kwanza.
- 490 KK: Dario I anashindwa na Wagiriki katika Mapigano ya Marathon. Fidipide anakimbia kilometa 42 hadi Athens ili kutangaza ushindi, halafu anakufa kwa uchovu: ndiyo asili ya mbio ya Marathon.
- 487 KK: Misri inaasi utawala wa Waajemi.
- 480 KK (23 Septemba): Ushindi mwingine wa Wagiriki dhidi ya Waajemi huko Salamis.
- 479 KK: Ushindi wa moja kwa moja wa Wagiriki dhidi ya Waajemi huko Platea.
- 471 KK: Themistokle anafukuzwa kutoka Athens.
- 459 KK: Kuhani Ezra anaongoza Wayahudi wengine warudi kutoka Mesopotamia hadi Yerusalemu.
- 447 KK: Athens inaanza ujenzi wa Parthenoni kwa himizo la Perikle.
- 439 KK: Cincinnatus anakuwa dikteta wa Roma.
Watu muhimu
[hariri | hariri chanzo]- Huko Ugiriki wa Kale:
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 5 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |