Jefferson City, Missouri
Jefferson City | |||
| |||
Majiranukta: 38°34′36″N 92°10′25″W / 38.57667°N 92.17361°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Missouri | ||
Wilaya | Callloway Cole |
||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 40,771 | ||
Tovuti: http://www.jeffcitymo.org/ |
Jefferson City ni jina la mji mkuu wa jimbo la Missouri huko nchini Marekani. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 41,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 192 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 73.2 km².
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Jefferson City, MO (Official Webpage) Ilihifadhiwa 12 Mei 2005 kwenye Wayback Machine.
- Jefferson City Convention and Visitor's Bureau
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jefferson City, Missouri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |