Jacqueline Bobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacqueline Bobo ni mwenyekiti na Profesa mshiriki wa masomo ya wanawake katika Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara.

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Alipata shahada yake ya kwanza kutoka Chuo Kikuu cha California, Los Angeles mwaka 1971, shahada ya uzamili mwaka 1980 katika Chuo kikuu cha jimbo la San Francisco, na PhD ya filamu na televisheni katika Chuo Kikuu cha Oregon mwaka 1989.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Jacqueline Bobo (faculty profile)". Department of Feminist Studies. University of California Santa Barbara. Iliwekwa mnamo February 21, 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacqueline Bobo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.