Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Ikolomani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ikolomani)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Ikolomani ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya uchaguzi katika kaunti ya Kakamega.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1963.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo zaidi
1963 Jonathan Muruli KADU
1969 Seth Lugonzo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Clement Lubembe KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Jeremiah Khamadi Murila KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Seth Lugonzo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Seth Lugonzo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Benjamin Ashoni Magwaga KANU
1997 Joseph Jolly Mugalla KANU
2002 Bonny Khalwale NARC
2007 Bonny Khalwale New Ford Kenya

Jimbo hili lina Wodi tatu za Kupiga Kura. Wodi hizi zote huwachagua madiwani kutoka Eneo la Udiwani la Kakamega County.

Wodi za Udiwani
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Eregi 8,291
Iguhu 15,791
Isulu 14,848
Jumla 38,930
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]