Hifadhi ya mazingira
Hifadhi ya mazingira ni juhudi zinazofanywa na binadamu ili kuhakikisha ulimwengu anamoishi usiharibiwe na utendaji wake, bali uweze kuwafaa watu wa vizazi vijavyo.
Tunatakiwa tutunze mazingira kwani tukiyachafua tutapata magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu na mengine mengi.
Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka sisi wanadamu. Kwa mfano: miti, mito, maziwa, nyumba na kadhalika. Mazingira yanafaa kuwekwa safi wakati wote kwani yana faida kubwa katika maisha ya mwanadamu ingawaje katika dunia hii ya sasa watu wamekuwa wakiharibu mazingira yanayowazunguka. Mfano: watu wanakata miti ovyo, wanachafua vyanzo vya maji; uchafuzi huo unapelekea hata wanyama kukimbia makazi yao na kwenda kutafuta makazi mengine.
Pia kutokana na ukataji miti ovyo imepelekea ukosefu wa mvua, na hii imepelekea kuanguka kwa kilimo duniani na kusababisha njaa katika baadhi ya maeneo, hasa katika nchi za Asia.
Pia joto kuongezeka: kwa mfano huko India joto lilipanda juu sana hivyo kupelekea vifo.
Kwa hayo machache tunaona athari za uchafuzi wa mazingira; ni vyema tukajitahidi kuyatunza mazingira yetu ili kuweza kupata manufaa kutoka kwenye mazingira yetu wenyewe.
Ushauri kuhusu mazingira
[hariri | hariri chanzo]- Usikate miti ovyo kwa maana hutasababisha ukame kwa kukosa mvua.
- Usichome misitu.
- Panda miti kwa wingi.
- Usifuge mifugo mingi katika eneo dogo.
- Panda mazao yanayoongeza rutuba kwenye ardhi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Ecology (Stanford Encyclopedia of Philosophy)
- The Nature Education Knowledge Project: Ecology
- Ecology Journals List of ecological scientific journals Archived 29 Aprili 2017 at the Wayback Machine.
- Ecology Dictionary - Explanation of Ecological Terms Archived 3 Agosti 2008 at the Wayback Machine.
- Basic Terms of Ecology Archived 21 Juni 2013 at the Wayback Machine.
- Canadian Society for Ecology and Evolution
- Ecological Society of America
- Ecology Global Network
- Ecological Society of Australia
- British Ecological Society
- Ecological Society of China
- International Society for Ecological Economics
- European Ecological Federation
- UN Millennium Ecosystem Assessment Archived 23 Aprili 2011 at the Wayback Machine.
- The Encyclopedia of Earth Wilderness: Biology & Ecology
- Ecology and Society - A journal of integrative science for resilience and sustainability
- Science Aid: Ecology, U.K. High School (GCSE, Alevel) Ecology Archived 22 Mei 2009 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hifadhi ya mazingira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |