Herode Antipa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Herode Antipa
Yesu mbele ya Herode Antipa kadiri ya Albrecht Dürer, 1509.
Yesu mbele ya Herode Antipa kadiri ya Albrecht Dürer, 1509.
Kazi yake alikuwa mtawala wa Galilaya

Herode Antipa (kwa Kigiriki Ἡρῴδης Ἀντίπατρος, Hērǭdēs Antipatros) alikuwa mtawala wa Galilaya na Perea katika karne ya 1. Alizaliwa na mfalme Herode Mkuu kabla ya mwaka 20 KK – akafariki uhamishoni[1] baada ya mwaka 39 BK).

Anajulikana hasa kutokana na habari zake zinazosimuliwa katika Agano Jipya ambamo Injili, hasa ile ya Luka zinaeleza alivyoagiza Yohane Mbatizaji akatwe kichwa na alivyomrudisha Yesu kwa Ponsyo Pilato siku ya Ijumaa Kuu ya mwaka 30 hivi.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Josephus, War 2.183.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Ya zamani
Ya kisasa

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herode Antipa kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.