Kipepeo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Hedyloidea)
Rukia: urambazaji, tafuta
Kipepeo
Papilio antimachus, kipepeo mkubwa kabisa wa Afrika
Papilio antimachus, kipepeo mkubwa kabisa wa Afrika
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Ngeli ya chini: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Lepidoptera (Nondo na Vipepeo)
Nusuoda: Glossata (Vipepeo wenye ulimi mrefu)
Ngazi za chini

Familia za juu 3

Kipepeo ni hali ya metamofosisi ya mdudu wa oda ya Lepidoptera.

Jinsi ilivyo kwa wadudu wengi maisha ya kipepeo hunanza kama yai. Inatoka kwa umbo la kiwavi. Baada ya muda kiwavi huwa bundo. Ndani ya bundo hugeuka kuwa kipepeo anayetoka na kutaga mayai tena. Mzunguko huu kwa jumla ni metamofosisi.

Vipepeo huishi kwa muda mfupi. Hula pekee kiowevu hasa cha mbochi wa maua.

Mifano ya vipepeo[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipepeo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kipepeo

[[1]]

Utangulizi[hariri | hariri chanzo]

[[2]] Kipepeo ni mdudu wa oda ya Lepidoptera. Kama ilivyo kwa wadudu wengi mzunguko wa maisha wa kipepeo nuwa na sehemu nne, yai, lava, pupa na mdudu kamili, spishi nyingi huruka wakati wa mchana. Rangi zao za kupendeza na miruko yao ya mbwembwe hufanya kuangalia vipepeo kuwa miongoni mwa tabia za kupendeza kwa baadhi ya watu.

Vipepeo wengi kiasili wamepitia mabadiliko makubwa. Wengine wametoka na na mabadiliko kutoka kwa wadudu kama vile mchwa. Vipepeo ni muhimu sana kwa kusaidia uchavushaji kwa binadamu, sababu zinapelekea mharibifu wa mazao hasa katika hatua ya lava ya ukuaji nao kitamaduni, vipepeo ni motifu maarufu katika sanaa ya maandishi na maonesho.

Mzunguko wa maisha[hariri | hariri chanzo]

[[3]] Ni imani iliyoweleka kwamba vipepeo maisha kwa muda mdogo sana. Hata hivyo, kulingana na aina zao, vipepeo kisha kuishi kwa wiki moja mpka karibu hata mwaka mmoja.

Vipepeo huzaa mava moja au zaidi kwa mwaka. Hutofautiana kutoka sehemu moja mpaka nyingine, huku maeneo ya tropiki yakionekana kuchochea uzazi kwa kiasi kikubwa.


Mayai[hariri | hariri chanzo]

[[4]] Mayai ya vipepeo huwa na gamba gumu, unaloitwa kononi. Gamba hili limezungukwa na waksi inayozuia yai visikauke kabla ya lava hajakua vizuri. Kila yai huwa na tunau dogo, kwaajili ya kuruhusu manii kuingia na kurutubiha yai. Mayai ya vipepeo na nonao hutofautiana sana kwa ukubwa kwenye spishi zao, lakini yote huwa ya miduara au dharadufu.

Mayai ya kipepeo hushikizwa kwenye majani kwa gunai maalumu inayokauka haraka. Inavyokauka husinyaa, hivyo kuharibu kidogo umbo la yai. Gundi hii huonekana kuwa urahisi chini ya yai. Asili ya gundi hii haijafahamika bado, hivyo utatiti unatakiwa kufanyika.

Mayai mava zote hutasuwa kwenye mimea. Kila spishi ya kipepeo huwa na mimea yake inayopendelea kutaga mayai yake humo, huku baadhi yao wakiwa na uwezo wa kutaga kwenye mimea mingi zaidi.

Mayai hudumu kwa siku kadhaa, lakini mayai mengi hutagwa msimu wa kipupwe na kuanguliwa nyakati za kuchipua. Vipepeo wengine hutaga mayai yao nyakati za kuchupua na kunyaangua msimu wa kiangazi.


Lava[hariri | hariri chanzo]

[[5]] Lava wa vipepeo hula majani kwa wingi, na hutumia muda wao mwingi wa siku wakitafuta chakula japokuwa asilimia kuowa ya lava hula nyasi (majani), wachache hula wadudu. Baadhi ya lava huishi maisha ya kutesemeana na sisimizi. Huwasiliana na sismizi kwa kutummia mitikisiko maalumu na kemikali. Sisimizi hutoa ulinzi kwa lava hawa ambao nao huwapatia mchwa utamuu wa asali.

Lava wengine pia wanauwezo wa kuzitokeza sehemu za vichwa vyao na kuonekana kama nyoka. Pia wana madoa kama macho ya uongo kuongezea muonekano huo. Pia, huwa na uwezo wa kutoa kemikali Fulani na kuitumia kama ulinzi.

Pupa[hariri | hariri chanzo]

[[6]] Lava anapokuwa na kukamilika, homoni kadhaa huanza kuzalishwa wakati huu, lava huacha kula na kuanza kutafuta sehemu ya kutulia, na maranyingi huwa chini ya majani. Hatimaye lava hubadirika na kuwa pupa, baada ya kumuangozi yake kwa mara ya mwisho. Pupa kwa kawaida huwa hajongei, isipokuwa huweza kujitikisa/kujinyonga ny’onga na kutoa milio kadhaa kuwatishia madui.

Baadae pupa hukua na kupitia mabadiliko katika mfumo wa metamofosisi na kuwa kipepeo kamili.


Kipepeo kamili[hariri | hariri chanzo]

[[7]] Katika hatua hii kipepeo huitwa pia imago. Jinsi yake pia hutambulika kwa mara ya kwanza. Huwana mbawa za mbele na nyama, hukuza mbele zikiwa hazijajishikiza pamoja. Huwa na miguu sita. Kisha kutoka nje mara ya kwanza, vipepeo huanza kujifunza kuvuka, nani muda huu ambapo huwa hatari sana kwani huweza vamiwa na maadui. Zoezi hili huchukua saa 1 mpaka 3.


Maumbile[hariri | hariri chanzo]

Vipepeo huwa na mbawa nne, bawa la mbele na nyuma kwa upande na kuliana kushota mwili wao umegawanyika katika sehemu kuu tatu, kichwa, kifua, na fumbatio. Wanaantena mbili, macho ya kampaundi na ulimi (mdomo) maalumu, proboscis.


Tabia[hariri | hariri chanzo]

Vipepeo hujilisha kwa nelxta utumvu) wa mimea. Wengine hujipatia virutubisho kutoka kwenye poleni, matunda yaliyooza, utomvu wa miti, kinyesi cha wanyama (20), miili iliyooza (21), madini yaliyozama mchangani na kwenye taka.

Vipepeo ni wachavushaji mahiri, na huweza kuleeba poleni kwa umbali mrefu, hata kilomita moja.