Hafidh Ameir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hafidh Ameir ni mume wa rais wa sita wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na asili ya visiwani Zanzibar.

Hafidh ni mtaalamu mstaafu wa masuala ya kilimo [1] na walifunga ndoa na Mama Samia mwaka 1978 [2] na wamejaaliwa kupata watoto wanne [3]; mmojawao, Wanu Hafidh Ameir, ni mwanasiasa kama mama yake [4] [5] na mjumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hafidh Ameir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.