Nenda kwa yaliyomo

Giovanni Losi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Giovanni Losi (1865).
Giovanni Losi akiwa Sudan (1880 hivi).
Bango la barabara ya Caselle Landi iliyopewa jina la Giovanni Losi.

Giovanni Losi, MCCI (Caselle Landi, 29 Novemba 1838Al-Ubayyid, 27 Desemba 1882) alikuwa kasisi na mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Baada ya kupewa upadirisho mwaka 1862, mwaka 1872 pamoja na Daniele Comboni alikwenda Sudan, hadi El-Obeid.[1]

Huko aliandika, pamoja na padre Bonomi, katekisimu na kamusi ya lugha ya Kinubi.[2]

Baada ya kifo cha Comboni mnamo 1881, alikua mrithi wake hadi 1882, mwaka wa kifo chake.[3]

  1. Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 334
  2. In Pace Christi - Giovanni Losi
  3. Giuseppe Bonfanti, Caselle del Po - Caselle Landi, un paese sul Po, 2a ed, Comune di Caselle Landi, 1998, pag. 336

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.