Kasisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kasisi ni jina lenye asili ya Kiarabu linalotumika kwa mtu mwenye daraja takatifu ya pili katika madhehebu kadhaa ya Ukristo, ambapo wengi wanapendelea neno padri au mchungaji.

Pamoja na matumizi tofauti ya majina, mara nyingi mtazamo wa imani kuhusu vyeo hivyo ni tofauti zaidi.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kasisi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.