Fransiska wa Sales Aviat
Mandhari
Fransiska wa Sales Aviat (jina la kuzaliwa: Léonie Aviat; Sézanne, Marne, Ufaransa, 16 Septemba 1844 – Perugia, Italia, 10 Januari 1914) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki ambaye pamoja na Louis Brisson alianzisha shirika la Masista Waoblati wa Mt. Fransisko wa Sales. Alilea wasichana kwa upendo wa kimama[1].
Aliongoza shirika kwa awamu mbili, huku katikati likiwa chini ya wakuu wawili waliompinga [2]
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 27 Septemba 1992 halafu mtakatifu tarehe 25 Novemba 2001.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Léonie Françoise de Sales Aviat. Holy See News Services. Retrieved on 26 December 2016.
- ↑ Martyrologium Romanum
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- d'Esmonge, OSFS, Sr. Marie-Aimée (1993). Leonie Aviat, Mother Frances de Sales: The Foundress of the Oblates of St. Francis de Sales. Norden: Franz Sales Verlag.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Hagiography Circle
- Soueurs Oblates de Saint François de Sales
- Oblate Sisters of Saint Francis de Sales (United States)
- The Salesian Center
- "Léonie Françoise De Sales Aviat", Vatican News Service
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |