Nenda kwa yaliyomo

Francesco Montenegro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Francesco Montenegro

Francesco Montenegro (alizaliwa Messina, 22 Mei 1946) ni Mchungaji wa Kanisa Katoliki kutoka Italia. Alikuwa Askofu Mkuu wa Agrigento kuanzia 2008 hadi 2021. Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 14 Februari 2015.

Maisha na utume wa kazi

[hariri | hariri chanzo]

Francesco Montenegro alisomea falsafa na teolojia katika Seminari ya Askofu Mkuu "St. Pius X" huko Messina. Alipata daraja ya upadre tarehe 8 Agosti 1969 akaendelea na masomo yake katika Ignatianum ya Messina.

Alifanya kazi ya parokia kuanzia 1969 hadi 1971 katika eneo la mtaa wa Messina na kuanzia 1971 hadi 1978 alihudumu kama katibu wa Maaskofu Wakuu wa Messina, Francesco Fasola na Ignazio Cannavò.[1][2]

  1. (in it) Rinunce e Nomine (Press release). Holy See Press Office. 18 March 2000. http://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2000/03/18/0170/00617.html. Retrieved 15 January 2015.
  2. "Mons. Francesco Montenegro". Arcidiocesi di Agrigento (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 30 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.