Nenda kwa yaliyomo

Florino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake juu ya lango la kanisa huko Koblenz.

Florino (pia: Florin, Florinus; Malles Venosta, leo nchini Italia, karne ya 7 - Uswisi, karne ya 7 au ya 8) alikuwa wa padri aliyetimiza kwa uaminifu majukumu yake kama paroko wa Ramosch [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.santiebeati.it/dettaglio/92235
  2. Martyrologium Romanum
  • Jan-Andrea Bernhard: Geschichtliche Einführung in das Wirken und die Wirkung des heiligen Florinus; in: Der Schlern 81 (2007), S. 20–47
  • Jan-Andrea Bernhard: Streit um einen Heiligen: der Heilige Florinus von Ramosch als Zankapfel in Geschichte und Gegenwart; in: Bündner Monatsblatt 2006, Nr.1, S. 35–67
  • Alfred Pothmann: Der heilige Florinus: aus der Geschichte der Heiligenverehrung im Stift Essen; in: Das Münster am Hellweg 37 (1984), S. 14–21
  • Hedwig Röckelein: Der Kult des heiligen Florinus im Stift Essen; in: Jan Gerchow u.a. (Hgg.): Essen und die sächsischen Frauenstifte im frühen Mittelalter; Essen 2003; S. 59–86
  • Ekkart Sauser, Florin von Remüs in Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL), Band 15, Bautz, Herzberg 1999, ISBN 3-88309-077-8, Sp. 574–575.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.