Eneo bunge la Kisumu Rural
Mandhari
Eneo bunge la Kisumu Rural (pia: Kisumu Mashinani) lilikuwa jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja ya majimbo matatu ya Wilaya ya Kisumu. Jimbo hilo lilikuwa na Wodi nane, zote zikiwachagua Madiwani kwa Baraza la Kisumu County.
Lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.
Awali jimbo hili lilikuwa likiwakilishwa na Robert Ouko, mwanasiasa ambaye baadaye aliuawa. Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988, Ouko alihamia Kisumu Town (Kisumu Mjini) (baadaye liligawanywa kuwa majimbo ya Kisumu Mjini Mashariki na Kisumu Mjini Magharibi).
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Tom Okelo Odongo | KPU | |
1969 | William Ndolo Ayah | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Wycliffe Onyango Ayoki | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Robert Ouko | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Robert Ouko | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Wilson Ndolo Ayah | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Peter Anyang' Nyong'o | Ford-K | |
1997 | Winston Ochoro Ayoki | NDP | |
2002 | Peter Anyang' Nyong'o | NARC | |
2007 | Peter Anyang' Nyong'o | ODM |
Lokesheni na wodi
[hariri | hariri chanzo]Lokesheni | |
Lokesheni | Idadi ya Watu* |
---|---|
East Seme | 15,698 |
North Central Seme | 16,398 |
North West Kisumu | 23,144 |
Otwenya | 15,759 |
South Central Seme | 23,057 |
South West Seme | 15,671 |
West Kisumu | 20,547 |
West Seme | 14,100 |
Jumla | x |
1999 census. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliosajiliwa |
---|---|
East Seme | 4,706 |
North Central Seme | 4,997 |
North West Kisumu | 5,779 |
Otwenya | 4,723 |
South Central Seme | 6,898 |
South West Seme | 5,187 |
West Kisumu | 6,130 |
West Seme | 4,489 |
Jumla | 42,909 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Rural Archived 12 Desemba 2008 at the Wayback Machine.