Nenda kwa yaliyomo

Dubai Desert Classic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dubai Desert Classic
Ujumbe kuhusu Mchuano huu
Mahali Falme za Kiarabu Dubai,
United Arab Emirates
Ilianzishwa 1989
Uwanja Emirates Golf Club
Par 72
Umbali 7,301
Ziara European Tour
Jinsi ya Kupata Pointi Stroke play
Pesa za Ushindani $2,500,000
Mwezi unapochezwa Januari
Rekodi ya Pointi katika Mchuano huu
Kwa Ujumla 266 Thomas Bjørn (2001)
Kwa kila Shimo -22 (kama ilivyo hapa juu)
Mshindi wa Sasa
Eire ya Kaskazini Rory McIlroy
Nembo ya Dubai Desert Classic

Dubai Desert Classic ni mchuano wa utaalam wa gofu unaofanyika kila mwaka huko Dubai katika United Arab Emirates. Imekuwa sehemu ya ratiba ya European Tour tangu kuzinduliwa mwaka 1989 na ilikuwa sehemu ya kwanza ya ratiba ya European Tour kufanyiwa Mashariki ya Kati. Isipokuwa makala ya 1999 na 2000, ambayo yalifanyika katika Dubai Creek Golf & Yacht Club, imekuwa ikichezewa kwenye kozi la "Majlis katika Emirates Golf Club.

Tukio limebainishwa kwa kuvutia baadhi ya nyota wakubwa duniani wa gofu kwa msaada wa pesa nyingi zilizotakikana za ushiriki. Ernie Els amekuwa na mafanikio zaidi kwani ameshinda Desert Classic mara tatu. Mdhamini mkuu wa tukio hilo ni Dubal, pamoja na wadhamini-wasaidizi wakiwa pamoja na: Omega, EmiratesNBD, Golf Jumeirah Estates, CNN, Emaar, Emirates Airlines, BMW na Gulf News.

Washindi

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Mshindi Pointi
Dubai Desert Classic
2009 Eire ya Kaskazini Rory McIlroy   269 (-19)
2008 Marekani Tiger Woods  274 (-14)
2007 Uswidi Henrik Stenson  269 (-19)
2006 Marekani Tiger Woods  269 (-19) PO
2005 Afrika Kusini Ernie Els  269 (-19)
2004 Marekani Marko O'Meara  271 (-17)
2003 Uholanzi Robert-Jan Derksen  271 (-17)
2002 Afrika Kusini Ernie Els  272 (-16)
2001 Denmark Thomas Bjørn  266 (-22)
2000 Argentina José Cóceres  274 (-14)
1999 Uingereza David Howell  275 (-13)
1998 Hispania José María Olazábal  269 (-19)
1997 Australia Richard Green  272 (-16) PO
1996 Uskoti Colin Montgomerie  270 (-18)
1995 Marekani Fred Couples  268 (-20)
1994 Afrika Kusini Ernie Els  268 (-20)
1993 Afrika Kusini Wayne Westner  274 (-14)
1992 Hispania Seve Ballesteros  272 (-16) PO
Emirates Airlines Desert Classic
1990 Eire Eamonn Darcy  276 (-12)
Karl Litten Desert Classic
1989 Uingereza Mark James  277 (-11) PO

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]

Matukio mengine mawili ambayo ni sehemu ya Gulf Swing:

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]