EmiratesNBD

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
EmiratesNBD
EmiratesNBD.jpg
Mwenyekiti HE Ahmed Humaid Al Tayer
Mkurugenzi Mtendaji wa kundi Rick Pudner
Kikao chake Dubai, Bendera ya Falme za Kiarabu United Arab Emirates
Tovuti http://www.emiratesnbd.com


EmiratesNBD , kundi kubwa zaidi la benki katika Mashariki ya Kati katika suala la mali, iliundwa tarehe 16 Oktoba 2007 wakati hisa za Emirates NBD ziliorodheshwa rasmi katika soko la hisa la Dubai. Muungano huu ulileta pamoja mabenki ya UAE ya pili na ya nne kubwa zaidi (Benki ya Emirates na Benki ya Taifa ya Dubai) kwa mali na umeunda bingwa wa benki iliyo na mali nyingi zaidi katika Mashariki ya Kati, jumla yake zaidi ya bilioni 282 AED kama mwishoni wa mwaka 2008. Kundi hili lina shughuli katika UAE, Ufalme wa Saudi Arabia, Qatar, Uingereza na Jersey (Channel Islands), na ofisi za wakilishi nchini India, Iran na Singapore [1]


Maono[hariri | hariri chanzo]

kutambuliwa kimataifa kama kiongozi na mtoa-huduma za kifedha mbadilifu zaidi katika Mashariki ya Kati.


Makampuni ya Kikundi cha EmiratesNBD[hariri | hariri chanzo]

 • Benki ya Kimataifa ya Emirates
 • Benki ya Taifa ya Dubai
 • Huduma za Uwekezaji za Emirates
 • Huduma za Kimataifa za Emirates
 • Huduma za Kibiashara na Kifedha za Emirates
 • Al-Tomooh
 • Diners Club UAE


Makampuni Tanzu[hariri | hariri chanzo]

 • Benki ya Kiislamu ya Emirates
 • Emirates Islamic Financial Brokerage
 • Emirates Money
 • Network International
 • EmiratesNBD Capital Limited
 • NBD Securities LLC
 • Al-Watani Al Islami
 • Benki ya Taifa ya Dubai Trust Company (Jersey) Limited
 • Mali ya NBD


Makampuni Shirikishi[hariri | hariri chanzo]

 • National General Insurance
 • NBD Sana Capital Limited
 • Union Properties


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. [[1]]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]