Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Dubai Desert Classic

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha??

[hariri chanzo]

Makala haipendezi maana tafsiri haikukamilika. Vigezo visivyosomeka vina kazi gani? --Kipala (majadiliano) 16:35, 5 Januari 2010 (UTC)[jibu]

Eeeeh, hata miye nimeliona. Labda tumwambie atafsiri vigezo vile na visibaki kwa Kiingereza kama vilivyo. Jamaa anasikia utamu kuanzisha vigezo hivi, lakini hajui adha ya kutafsiri vigezo vile. Pole yake. Lakini mwanzo mzuri wa kupata uzoefu wa kiwiki!--MwanaharakatiLonga 17:21, 5 Januari 2010 (UTC)[jibu]