BMW

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
BMW logo 1997-2019
BMW M3.

BMW AG ni kampuni ya Ujerumani inayozalisha magari na pikipiki, na ilikuwa ikizalisha injini za ndege mpaka mwaka 1945.

Kampuni hiyo ilianzishwa mwaka wa 1916 na makao makuu yake yako Munich, Bavaria.

BMW inazalisha magari nchini Ujerumani, Brazil, China, India, Afrika Kusini na Marekani.

Mwaka 2015, BMW walikuwa watengenezaji wa magari namba kumi na mbili duniani, na walizalisha magari 2,279,503. Familia ya Quandt ni wahisa wa muda mrefu wa kampuni hiyo, na hisa zilizobaki zinazotokana na kuelea kwa umma.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu BMW kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.