Diaspora ya Waafrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
African diaspora
Maeneo penye iodadi kubwa kiasi
 Brazil 55,900,000
 Marekani 46,350,467[1]
 Haiti 8,788,439
 Kolombia 4,944,400 [2][3][4]
 Ufaransa 3,800,000
 Jamaika 2,731,419
 Venezuela 2,641,481
 Ufalme wa Muungano 2,080,000
 Jamhuri ya Dominika 1,985,991
 Mexiko 1,386,556[5]
 Kuba 1,126,894
 Italia 1,100,000
Template loop detected: Kigezo:Country data Puerto Rico 979,842
 Peru 875,427
 Ujerumani 817,150
 Kanada 783,795
 Hispania 690,291
 Ekuador 680,000
 Trinidad and Tobago 607,472

Diaspora ya Waafrika inahusu jumuia za watu duniani kote ambazo zina asili yake katika Waafrika waliohama bara lao au waliohamishwa wakati wa historia kuandikwa[6].

Katika hizo, kubwa zaidi ni zile za Brazil, Marekani na Haiti.[7]

Umoja wa Afrika unafafanua hivi mtawanyiko[8] huo:

"[unaundwa] na watu wenye asili ya Afrika ambao wanaishi nje ya bara hilo, bila kujali uraia na utaifa wao na wana nia ya kuchangia maendeleo ya bara na ujenzi wa Umoja wa Afrika."

Hati ya kuuanzisha inatamka kwamba

"utaalika na kuhimiza diaspora ya Waafrika ishiriki kikamilifu kama sehemu muhimu ya bara letu."[9]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. {{cite web|url=https://www.census.gov/content/dam/Census/newsroom/facts-for-features/2017/cb17-ff01.pdf%7Ctitle=February 2017 - U.S. Census Bureau] [[PDF]|website=census.gov|accessdate=2 September 2017}}
  2. visibilización estadística de los grupos étnicos. Censo General 2005. Departamento Administrativo Nacional de Estadistica (DANE). Iliwekwa mnamo 15 June 2013.
  3. Bushnell, David & Rex A. Hudson (2010) "The Society and Its Environment"; Colombia: a country study: pp. 87, 92. Washingtion D.C.: Federal Research Division, Library of Congress.
  4. Ethnic groups in Colombia (Spanish). dane.gov.co. Iliwekwa mnamo 26 March 2014.
  5. Principales resultados de la Encuesta Intercensal 2015 Estados Unidos Mexicanos 77. INEGI. Iliwekwa mnamo 9 December 2015.
  6. Harris, J. E. (1993). "Introduction" In J. E. Harris (ed.), Global Dimensions of the African Diaspora, pp. 8–9.
  7. (1998-07-01) General History of Africa, 305–15. ISBN 978-0-520-06701-1.  via Google Books
  8. The term "diaspora" originates from the Greek διασπορά (diaspora, literally "scattering") which gained popularity in English in reference to the Jewish diaspora before being more broadly applied to other populations.In an article published in 1991, William Safran set out six rules to distinguish "diasporas" from general migrant communities. While Safran's definitions were influenced by the idea of the Jewish diaspora, he recognised the expanding use of the term. Rogers Brubaker (2005) also noted that use of the term "diaspora" was in the process of being used in an increasingly general sense. He suggests that one element of this expansion in use "involves the application of the term diaspora to an ever-broadening set of cases: essentially to any and every nameable population category that is to some extent dispersed in space". An early example of the use of "African diaspora" appears in the title of Sidney Lemelle, Robin D. G. Kelley, Imagining Home: Class, Culture and Nationalism in the African Diaspora (1994).
  9. The Diaspora Division. Statement. The Citizens and Diaspora Organizations Directorate (CIDO). Iliwekwa mnamo 7 January 2016.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]