Daydream (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daydream
Daydream Cover
Studio album ya Mariah Carey
Imetolewa 3 Oktoba 1995
Imerekodiwa Desemba 1994 – Agosti 1995
Aina Pop, R&B
Urefu 46:42
Lebo Columbia
Mtayarishaji Mariah Carey, Walter Afanasieff, Dave Hall, Jermaine Dupri, Manuel Seal, David Morales
Wendo wa albamu za Mariah Carey
Merry Christmas
(1994)
Daydream
(1995)
Butterfly
(1997)

Daydream ni albamu ya tano kutoka mwa Mariah Carey,ambaye pia ni mwandishi wa nyimbo, iliyotoka tarehe 3 Oktoba 1995 kupitia katika studio za Columbia Records, ikifuatia albamu yake iliyokuwa na mafanikio ya mwaka 1993, Music Box na albamu ya mwaka 1994 iliyoitwa Merry Christmas

Ukiachalia mbali, mabadiliko ya sauti katika albamu hii, suala ambalo hata studio alizorekodia hazikuridhiishwa nazo, lakini kwa mabadiliko hayo yalipokelewa vizuri na mashabiki wake, hususani kwa upande wa mauzo, ambapo albamu hii ilizidi matarajio ya mauzo na kuifanya kuwa albamu ya pili katika albamu yake zinazoongoza kwa mauzo, nyumba ya albamu ya Music Box. albamu hii ilifanikiwa kuuza nakala milioni kumi kwa upande wa Marekani Peke yake.[1].[2]. Huko Australia albamu hii iliishia nafasi ya tisa katika chati ya muziki ya nchini kwa mwaka 1996 [3][4][5] Albamu hii ya Daydream bado inabaki kuwa moja kati ya albamu zilizowahi kufaya vizuri zaidi katika chati mbalimbalin za mauzo duniani, kwa kufanikiwa kuuza zaidi ya nakala milioni 25 duniani kote .[6][7]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Albamu ya tatu kutoka kwa Mariah ya Music Box iliyotoka mwaka (1993) ndiyo inayoongoza katika albamu zake za studio. Lakin pia albamu yake ya Merry Christmas iliyotoka mwaka 1994 pia ilipata mapokeo mazuri. Kipindi cha kuanzia kutoka kwa albamu ya Merry Christmas na Daydream ndio kilikua kipindi cha Mariah kupata matatizo ya kimahusiano baina yake na aliyekuwa mume wake Mommy Mottola Kuanzia mwanzo wa kazi zake kama Mwanamuziki, Mottola amekuwa akiongoza kazi zote za Mariah ikiwa ni pamoja na sauti yake kuendelea kuimba miondoko ya pop badala ya hip hop suala ambalo yeye mwenyewe Mariah alikuwa akilitamani. Hususani wakati wa kutoka kwa albamu ya daydream' ."[8] Lakini hata hivyo, uongozi wa Mottola katika maisha ya Carey, uliziki kuongezeka pale wawili hawa walipooana na hivyo kusababisha kuongezeka kwa ugomvi baina ya wawili hawa. [9] Lakini hata hivyo, muda mfupi baadae, ilikuwa wazi kuwa wawili hawa walikuwa katika hali ya utata na ndoa yao kuwa katika hati hati. Mwaka 1995, Mariah alitangaza rasmi kuwa, ameanza kuimba kwa staili nyingine, kufuatia kutoka kwa albamu ya Daydream, jambo lilipata upinza sana kutoka kwa mume wake na wanyakazi wengine. Lakini Mariah aliendelea kushikilia msimamo wake na kuliambia gazeti la Times kuwa alikuwa akirudia na kurudia kurekodi kwa haraka zaidi, na kuwa amepata wakati wa kuweza kutilia maanani zaidi kwa kile anaachokifanya."[10][11]

Mapokezi[hariri | hariri chanzo]

Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
Chanzo Makadirio
Allmusic 4.5/5 stars
Entertainment Weekly (B) [12]

Daydream ilitoka rasmi mwezi wa kumi tarehe 3, mwaka 1995, nchini Marekani na kufanikiwa kuuza zaidi ya nakala 224,000 katika wiki yake ya kwanza ya mauzo, na kuifanya albamu hii kuwa albamu ya kwanza ya Mariah kufanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza na kukaa katika nafasi ya kwanza kwa takribani wiki sita zisikuwa za mfululizo, na kukaa katika nyimbo kumi bora kwa majuma ishirini na tisa Hata hivyo albamu ilifanikiwa kuuza zaidi ya nakala 760,000 wakati wa siku kuu ya Christmas ya mwaka 1995. Na kufanya mauzo hayo kuwa mauzo makubwa zaidi kuwahi kufikiwa kwa mwanamuziki wa kike ndani ya wiki moja .[13][14] Baada ya kufanikiwa kuuza nakala zaidi ya 7,556,000 nchini Marekani.[15] na kuweza kusafirisha nakala milioni kumi, chama cha RIAA Recording Industry Association of America kilitangaza rasmi kuwa albamu hii kupata hadhi ya platinum, ambayo pia hujulikana kama hadhi ya almasi [16][17] Daydream is one of the first sixty-two albums to have achieved the diamond status.[17] kwa mujibu wa Billboard albam ya daydream imefanikiwa kuingia katika orodha ya albamu bora za muda wote kutoka kwa mwanamuziki asiyekuwa na asili ya Asia kwa kufanikiwa kuuza nakala zaidi 2,100,000 .[18]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

# JinaMtunzi (wa) Urefu
3. "One Sweet Day" (with Boyz II Men)Carey, Michael McCary, Nathan Morris, Wanya Morris, Shawn Stockman, Afanasieff 4:42
4. "Open Arms"  Steve Perry, Jonathan Cain 3:30
5. "Always Be My Baby"  Carey, Jermaine Dupri, Manuel Seal 4:20
6. "I Am Free"  Carey, Afanasieff 3:09
7. "When I Saw You"  Carey, Afanasieff 4:24
8. "Long Ago"  Carey, Dupri 4:33
9. "Melt Away"  Carey, Babyface 3:42
10. "Forever"  Carey, Afanasieff 4:00
11. "Daydream Interlude" (Fantasy Sweet Dub Mix)Carey, Frantz, Weymouth, Hall, Belew, Stanley 3:04
12. "Looking In"  Carey, Afanasieff 3:35
13. "Fantasy (Def Club Mix)" (Japanese edition bonus track)Carey, Frantz, Weymouth, Hall, Belew, Stanley 3:45
14. "El Amor Que Soñé" (Latin American edition bonus track)Perry, Cain, Manny Benito 3:32

Chati na tuzo[hariri | hariri chanzo]

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati Ilipata
nafasi
Australian Albums Chart[19] 1
Austrian Albums Chart[20] 5
Belgian Flanders Albums Chart[21] 6
Belgian Wallonia Albums Chart[22] 3
Canadian Albums Chart[23] 3
Dutch Albums Chart[24] 1
European Albums Chart[25] 2
Finnish Albums Chart[26] 12
French Albums Chart[27] 2
German Albums Chart[28] 1
Hungarian Albums Chart[29] 13
Italian Albums Chart[30] 6
Japanese Albums Chart[31] 1
New Zealand Albums Chart[32] 1
Norwegian Albums Chart[33] 3
Spanish Albums Chart[34] 5
Swedish Albums Chart[35] 6
Swiss Albums Chart[36] 1
UK Albums Chart[37] 1
U.S. Billboard 200 1
U.S. Billboard R&B/Hip hop Albums 1

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Nchi (Msambazaji) Certification
(sales thresholds)
Australia (ARIA) 5x Platinum[38]
Austria (IFPI) Gold[39]
Canada (CRIA) 7x Platinum[40]
Europe (IFPI) 3x Platinum[41]
France (SNEP) 2x Platinum[42]
Germany (IFPI) Platinum[43]
Japan (RIAJ) Million[44]
Netherlands (NVPI) Platinum[45]
New Zealand (RIANZ) 9x Platinum[46]
Norway (IFPI) Platinum[47]
Poland (ZPAV) Gold[48]
Spain (PROMUSICAE) 3x Platinum[49]
Switzerland (IFPI) Gold[50]
United Kingdom (BPI) 2x Platinum[51]
United States (RIAA) Diamond[52]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. http://www.ticketspecialists.com/concerts/mariah_carey_tickets.htm
 2. Definitive 200. The Rock and Roll Hall of Fame and Museum (2007). Iliwekwa mnamo 2009-04-05.
 3. http://www.aria.com.au/pages/aria-charts-end-of-year-charts-top-50albums-1995.htm
 4. http://www.aria.com.au/pages/aria-charts-end-of-year-charts-top-50albums-1996.htm
 5. Billboard "Year-End Charts, 1996". Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-12-22. Iliwekwa mnamo 2007-12-22.
 6. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-12. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 7. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-05-22. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 8. Shapiro, p. 90
 9. Shapiro, p. 91
 10. Shapiro, P. 92
 11. Christopher John Farley (2001-06-21). Pop's princess grows up. Time. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-17. Iliwekwa mnamo 2009-04-05.
 12. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-10-26. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 13. Neil Strauss (2005-05-30). Blige leads Christmas surge; Carey passes 50 Cent. redOrbit. Iliwekwa mnamo 2009-04-06.[dead link]
 14. Neil Strauss (1995-11-30). The Pop Life. Time. Iliwekwa mnamo 2009-04-05.
 15. [1]
 16. Search Results. Recording Industry Association of America. Iliwekwa mnamo 2009-04-06.
 17. 17.0 17.1 Metallica, Boyz II Men, Backstreet Boys, Green Day, No Doubt Among Top-Selling Artists Honored At Diamond Awards. MTV News (1999-03-17). Iliwekwa mnamo 2009-04-06.
 18. Billboard Magazine 1996
 19. Australian Albums Chart
 20. Austrian Albums Chart
 21. Flandres Albums Chart
 22. Wallonia Albums Chart
 23. Canadian Albums Chart
 24. Dutch Albums Chart
 25. European Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-13. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 26. Finnish Albums Chart
 27. French Albums Chart
 28. German Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-10-29. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 29. Hungarian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-04-18. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 30. Italian Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 31. Oricon Albums Chart
 32. New Zealand Albums Chart. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-09-07. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 33. Norwegian Albums Chart
 34. Spanish Albums Chart
 35. Swedish Albums Chart
 36. Swiss Albums Chart
 37. UK Albums Chart
 38. Kent, David (2003). Australian Chart Book 1970-1992. ISBN 0-646-11917-6. 
 39. IFPI Austria
 40. CRIA. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 41. IFPI. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-12-05. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 42. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-06-28. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 43. IFPI Germany
 44. http://www.riaj.or.jp/data/others/million_list/1995.html
 45. NVPI. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 46. Scapolo, Dean (2007). The Complete New Zealand Music Charts 1966-2006. RIANZ. ISBN 978-1-877443-00-8. 
 47. IFPI Norway. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 48. ZPAV. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-04. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 49. Salaverri, Fernando (Septemba 2005). Sólo éxitos: año a año, 1959–2002, 1st, Spain: Fundación Autor-SGAE. ISBN 8480486392. 
 50. IFPI Switzerland
 51. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2010-08-17.
 52. http://www.riaa.com/goldandplatinumdata.php?table=SEARCH