Jermaine Dupri
Jermaine Dupri | |
---|---|
![]() Dupri mnamo 2009
|
|
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Jermaine Dupri Mauldin |
Pia anajulikana kama | J.D. |
Amezaliwa | 23 Septemba 1972 |
Asili yake | Atlanta, Georgia, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi, mtunzi wa nyimbo, rapa |
Miaka ya kazi | 1987–mpaka sasa |
Studio | So So Def Recordings, Island Urban Music, TAG Records[1] |
Jermaine Dupri Mauldin (amezaliwa tar. 23 Septemba 1972) ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa kama msanii bora wa rekodi, mtayarishaji, mtunzi wa nyimbo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Jermaine Dupri au J.D. Amefanya kazi wasanii wengi sana. Wasanii hao ni pamoja na Mariah Carey, Nelly, Janet Jackson, Chanté Moore, Tamia, Mya, Kris Kross, na wengine wengi tu, huko nchini Marekani.
Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]
Diskografia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- Jermaine Dupri Official Site
- Jermaine Dupri's Official Youtube
- Jermaine Dupri presents Ocean's 7
- Jermaine Dupri kwenye Internet Movie Database
- JD (Discography) - beatbuggy.com
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jermaine Dupri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |