Nenda kwa yaliyomo

Kris Kross

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kris Kross
Kris Kross (Smith upande wa kushoto; Kelly upande wa kulia nyakati za usiku) mnamo 1996
Taarifa za awali
ChimbukoAtlanta, Georgia, Marekani
Miaka ya kazi1991–2001
2013 (kuungana tena)
Studio
Ameshirikiana na
Chris "Daddy Mac" Smith
Chris "Mac Daddy" Kelly (amefariki)

Kris Kross lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lililoundwa mwanzoni mwa miaka ya 1990, likiongozwa na James Christopher "Mac Daddy" Kelly (Agosti 11, 1978 – Me 1, 2013) na Christopher "Daddy Mac" Smith (amezaliwa Januari 10, 1979). Kundi linatoka nchini Marekani. Kundi lilitamba sana na kibao chao cha 1992 "Jump", ambacho kilishika nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Hot 100 kwa majuma manane mfululizo na kutunukiwa platinum.

Kundi lilendelea kupata maplatinum na madhahabu kibwena kwa vibao na maalbamu kama vile "Warm It Up", "Tonight's tha Night" na "Young, Rich & Dangerous". Washirika hawa pia walifahamika sana kwa mtindo wao kuvaa nguo kinyumenyume (mbele nyuma, nyuma mbele).

Urafiki wa James Christopher Kelly na Christopher Smith ulianza tangu wakiwa darasa la kwanza. Vijana hawa waligunduliwa na Jermaine Dupri wa enzi hizo aliyekuwa na miaka 19 - aliwakuta katika Marikiti moja huko mjini Atlanta mnamo mwaka wa 1991.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Maelezo ya albamu Nafasi iliyoshika Tunukio
(mauzo)
US
[1]
US R&B
[2]
AUS
[3]
AUT
[4]
SWE
[5]
UK
[6]
1992 Totally Krossed Out 1 1 7 33 30 31
1993 Da Bomb
  • Albamu ya pili
  • Imetolewa: August 3, 1993
  • Studio: Ruffhouse/Columbia Records
13 2
1996 Young, Rich & Dangerous
  • Albamu ya tatu
  • Imetolewa: Januari 9, 1996
  • Studio: Ruffhouse/Columbia Records
15 2
"—" ina- maanisha matoleo hayo hayajashika chati.

Albamu za remix

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Maelezo ya albamu
1996 Best of Kris Kross Remixed '92 '94 '96
  • Albamu ya kwanza remix
  • Imetolewa: Novemba 26, 1996
  • Studio: Ruffhouse/Columbia Records

Compilation albums

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Maelezo ya albamu
1998 Gonna Make U Jump
  • Albamu ya kwanza ya kompilsheni
  • Imetolewa: April 28, 1998
  • Studio: Ruffhouse/Columbia Records
Mwaka Kibao Nafasi iliyoshika Nukio
(mauzo)
Albamu
US
[10]
AUS
[3]
BEL
(Vl)

[11]
CAN
[12]
FRA
[13]
IRE
[14]
NZ
[15]
SUI
[16]
SWE
[17]
UK
[6]
1992 "Jump" 1 1 3 11 5 1 1 1 2 2 Totally Krossed Out
"Warm It Up" 13 21 21 44 16 3 34 34 16
"I Missed the Bus" 63 95 28 57
"It's a Shame" 35 27 19 31
1993 "Alright"(with Super Cat) 19 97 8 47 Da Bomb
"I'm Real" 84
1994 "Da Bomb" (with Da Brat)
1995 "Tonite's tha Night" 12 11 48 Young, Rich, & Dangerous
1996 "Live and Die for Hip Hop" 72 30
"—" ina-maanisha haijatolewa au haijashika chati
  1. [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Kris Kross Album & Song Chart History – Billboard 200"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Septemba 18, 2010. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Kris Kross Album & Song Chart History – R&B/Hip-Hop Albums"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Septemba 18, 2010. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 Australian (ARIA Chart) peaks:
  4. "austriancharts.at – Austria Top 40". austriancharts.at. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "swedishcharts.com – Swedish charts portal". swedishcharts.com. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. 6.0 6.1 "Official Charts – Kris Kross". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo Aprili 2, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. 7.0 7.1 Ryan, Gavin (2011). Australia's Music Charts 1988-2010. Mt. Martha, VIC, Australia: Moonlight Publishing.
  8. 8.0 8.1 "Canadian Recording Industry Association (CRIA): Gold & Platinum". Canadian Recording Industry Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-10-19. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. 9.0 9.1 9.2 "RIAA – Gold & Platinum – September 19, 2010: Kris Kross certified singles". Recording Industry Association of America. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-08-26. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] "Kris Kross Album & Song Chart History – Hot 100"]. Billboard. Iliwekwa mnamo Septemba 18, 2010. {{cite web}}: Check |url= value (help); Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "ultratop.be – Belgian charts portal". ultratop.be. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. "Results - RPM - Library and Archives Canada". Collectionscanada.gc.ca. Iliwekwa mnamo 2016-02-23.
  13. "lescharts.com – French charts portal". lescharts.com. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  14. "irishcharts.ie – Irish charts portal". irishcharts.ie. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. "charts.org.nz – New Zealand charts portal". charts.org.nz. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. "swisscharts.com– Swiss charts portal". swisscharts.com. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  17. "swedishcharts.com – Swedish charts portal". swedishcharts.com. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. 18.0 18.1 18.2 18.3 "RIAA – Gold & Platinum – September 19, 2010: Kris Kross certified singles". Recording Industry Association of America. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo Septemba 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Kris Kross