Daniel Chongolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel Godfrey Chongolo
Kazi yake mwanasiasa Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi

Daniel Godfrey Chongolo ni mwanasiasa wa Tanzania na kwasasa ni Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi akichukua nafasi iliyo achwa wazi na Bashiru Ally; aliteuliwa chini ya raisi wa sasa Mh, Samia Suluhu Hassan mnamo Aprili 30, 2021.[1] [2]. Kabla ya nafasi ya ukatibu mkuu, Chongolo alikuwa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni iliyopo katika mkoa wa Dar es salaam na kabla ya hapo, aliwahi kuhudumu kama mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Manyara. [3] [4] [5]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2014 Chongolo alihitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na kupokea shahada, mahafali yake yalihudhuriwa na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Asha Abdullah Juma.[6]

Siasa[hariri | hariri chanzo]

Kabla ya kuteuliwa Chongolo alikuwa mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano cha Chama cha Mapinduzi makao makuu Dodoma.[7] [8]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Daniel Chongolo appointed CCM's Secretary General. The Citizen. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-05-03. Iliwekwa mnamo 30 April 2021.
  2. CCM Secretary General Daniel Chongolo. Chama Cha Mapinduzi. Iliwekwa mnamo 30 April 2021.
  3. This is the new General Secretary of CCM
  4. Daniel Gabriel Chongolo as a new SG of CCM Party. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-05-04. Iliwekwa mnamo 2021-05-27.
  5. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM
  6. Prominent CCM members shines through their graduation. Chama Cha Mapinduzi. Iliwekwa mnamo 26 October 2013.
  7. Daniel Chongolo and other CCM Member leaders succeed in High Learning. Nkoromo.
  8. Who is Daniel Chongolo. Mwananchi Media. Iliwekwa mnamo 1 May 2021.