Cristian Rodriguez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Cristian Rodriguez (alizaliwa Juan Lacez, Urugwai, 30 Septemba 1985) ni mchezaji mpira wa soka.

Alianza kucHeza mpira akiwa mdogo sana; jina lake la utani waliokuwa wanamuita ni Cebolla lilitoka huko penalo kwa baba yake na sababu ya kulipenda jina hilo lilikuwa na maana nzuri ni mtu mwenye kasi, uwezo na maarifa.

katika kipindi chake alishawahi kucheza Ureno katika timu zinazoitwa Benfica na Porto; pia alishawahi kuchezea Atletico Madrid.

Rodriguez aliwakilisha timu yake mwaka 2014 katika kombe la dunia.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cristian Rodriguez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.