Christina Milian (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Christina Milian
Christina Milian Cover
Studio album ya Christina Milian
Imetolewa 9 Oktoba 2001 (Ulaya)
15 Januari 2002 (JP)
Imerekodiwa 2000/01
Aina R&B, pop, urban
Urefu 47:53
Lebo Def Soul Records
Mtayarishaji Bloodshy na Avant, Jermaine Dupri, Focus, Irv Gotti, Mark Hill, Montell Jordan, Evan Rogers
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Christina Milian
Christina Milian
(2001)
It's About Time
(2004)
Kasha Lingine
Kasha Lingine

Christina Milian ni jina la kutaja albamu ya mwimbaji/mwigizaji wa Kimarekani Bi. Christina Milian. Albamu hii ameipa jina lake kwa kuwa ni albamu yake ya kwanza.

Hilo ni la kawaida kwa wanamuziki wengi duniani. Albamu hii ilitolewa chini ya studio ya Def Soul Record kwa nje ya Marekani na mpango wa kuitoa albamu hii nchini humo ulifeli kufuatia shambulio la kigaidi la tar. 11 Septemba, 2001 kutokea.

Katika albamu hii, Christina amepata kushirikiana na moja kati ya wasanii wa The Inc. akiwemo pamoja na baadhi ya marapa kama vile Ja Rule na Charli Baltimore. Albamu ilifanya vizuri katika UK, kwa kufikia kiwango cha platinamu.

Single ya kwanza kutoka katika albamu ni "AM to PM," ilipata kuingia katika kadhaa za ulimwenguni ikiwa na mafanikio makubwa kabisa kwa kushika nafasi ya 27 katika Billboard Hot 100 Bora na nafasi ya 3 katika UK.

"When You Look at Me," single ya pili kutoka katika albamu, kimepata kuwa kibao mashuhuri katika nchi za Ulaya, ikiwemo Ufaransa, Ujerumani, Sweden, na Uingereza (ambamo ilishika nafasi ya tatu).

"Get Away," akishirikiana na Ja Rule, ilitakiwa iwe single ya tatu, lakini haikutolewa licha ya kuwa na muziki wake wa video, lakini bado ikawa sio toleo rasmi la mfululizo mzima wa single za albamu hii.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Get Away" (akimshirikisha Ja Rule) - 4:14
 2. "AM to PM" - 3:52
 3. "When You Look at Me" - 3:43
 4. "Spending Time" (akimshirikisha Charli Baltimore) - 4:32
 5. "It Hurts When..." - 4:02
 6. "You Make Me Laugh" - 3:38
 7. "A Girl Like Me" (akimshirikisha Jermaine Dupri) - 4:00
 8. "Twitch" - 4:01
 9. "Until I Get Over You" - 3:58
 10. "Satisfaction Guaranteed" - 3:45
 11. "Got to Have You" - 3:38
 12. "Thank You" - 4:28
 13. "Your Last Call" [nyimbo ya ziada ya UK] - 3:38
 14. "Let Go" [nyimbo ya ziada ya Japani] - 3:42
 15. "You Snooze, You Lose" [nyimbo ya ziada ya Japani] - 3:31

Single[hariri | hariri chanzo]

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2001) Mwenezi Nafasi
Iliyoshika
Dutch Albums Chart[1] MegaCharts 36
French Albums Chart[1] SNEP/IFOP 138
German Albums Chart Media Control 51
Swiss Albums Chart[1] 98
UK Albums Chart BPI/The Official UK Charts Company 23

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]