Diskografia ya Christina Milian
Mandhari
(Elekezwa kutoka Albamu na Nyimbo za Christina Milian)
Diskografia ya Christina Milian ni orodha ya nyimbo na albamu za mwimbaji na mtunzi - mwigizaji kutoka nchini Marekani, almaarufu kama Christina Milian. Orodha hii imekusanya albamu zake tatu, zikiwa sambamba kabisa na single zake saba pamoja na nyimbo mchanganyiko za mwanadada huyu.
Albamu zake
[hariri | hariri chanzo]Albamu za studio
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Albamu | Nafasi iliyoshika | Mauzo/Matunukio | ||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
WW | US | UK | FRA | JP | |||
2001 | Christina Milian
|
— | — | 23 | — | 19 |
|
2004 | It's About Time
|
31 | 14 | 21 | 83 | 11 |
|
2006 | So Amazin'
|
27 | 11 | 67 | 123 | 9 |
|
Kompilesheni zake
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Albamu | Chati ilizoshika | Mauzo/kutunukiwa | ||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
WW | U.S. | UK | FRA | JP | |||
2006 | Best Of
|
— | — | — | — | 29 |
|
Single zake
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Jina la single | Chati iliyoshika | Albamu | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
UWC | U.S.[1] | U.S. R&B | U.S. Dance | UK | IRE | AUS | GER | NET | NZ | SWI | |||||||||
2001 | "AM To PM" | 17 | 27 | 58 | 13 | 3 | 6 | 25 | 54 | 8 | — | 28 | Christina Milian | ||||||
"When You Look At Me" | 22 | — | — | — | 3 | 5 | 7 | 13 | 3 | — | 31 | ||||||||
2002 | "Get Away" | ||||||||||||||||||
2004 | "Dip It Low" (akimshirikisha Fabolous) | 12 | 5 | 16 | 1 | 2 | 11 | 31 | 17 | 7 | 7 | 11 | It's About Time | ||||||
"Whatever U Want" (akimshirikisha Joe Budden) | — | 100 | 91 | 6 | 9 | 16 | — | 51 | 20 | — | 27 | ||||||||
2006 | "Say I" (akimshirikisha Young Jeezy) | 19 | 21 | 13 | 4 | 4 | 15 | 25 | 38 | 74 | 23 | 23 | So Amazin' | ||||||
2008 | "Us Against The World" | — | — | — | — | — | — | — | — | — | — | — | TBA | ||||||
Single Zingine | |||||||||||||||||||
2000 | "Between Me And You" (akiwa na Ja Rule) | — | 11 | 5 | — | 26 | — | — | — | 48 | — | — | Rule 3:36 | ||||||
2001 | "It's All Gravy" (akiwa na Romeo) | — | — | — | — | 4 | — | — | — | — | — | — | Solid Love |
Video zake
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Wimbo | Waongozaji |
---|---|---|
2001 | "AM To PM" | Dave Meyers |
"When You Look At Me" | Billie Woodruff | |
2002 | "Get Away" | Little X |
2004 | "Dip It Low" | Matthew Rolston |
"Whatever U Want" | Ray Kay | |
2006 | "Say I" |
Kazi zingine
[hariri | hariri chanzo]Albamu alizopata kuonekana
[hariri | hariri chanzo]- 2000: "Between Me & You" ya Ja Rule- Rule 3:36
- 2001: "Call Me, Beep Me (The Kim Possible Theme Song)" (akiwa na Christy Carlson Romano; kutoka katika Kibwagizo cha Kim Possible)
- 2001: "Play" (alipiga sauti ya nyumba akiwa na Jennifer Lopez; kutoka katika J. Lo)
- 2002: "I Hear Santa On The Radio" (kutoka katika albamu ya kwanza ya Hilary Duff ya Christmas na albamu moja ya "Santa Claus Lane")
Vibwagizo alivyopata kuonekana
[hariri | hariri chanzo]- 2001: Rush Hour ("You Make Me Laugh")
- 2005: Be Cool ("Ain't No Reason", "Believer")
- 2005: In the Mix ("Be What It's Gonna Be")
Mwonekano wake katika Tepu mchanganyiko
[hariri | hariri chanzo]- "Peep Show"
- "7 Days (Remix)" (akimshirikisha na Vic Damone)
- "L.O.V.E. (Japanese Remix)" (akimshirikisha na Joe Budden)
- "Into The Sunset"
- "Suga' Cane"
- "Lose Your Love" (akimshirikisha na Twista)
- "Much More" (akiwa na Nick Cannon)
- "Who's Gonna Ride?" (akimshirikisha na Lil' Wayne na Three 6 Mafia)
- "Say I" (akimshirikisha na Juelz Santana na Young Jeezy)
- "Someday One Day" (Remix) (akimshirikisha na Lil Fizz na J-Boog na Raz-B)
- "Look Around" (akimshirikisha na Bratz na M-Flo)
Nyimbo alizopata ushirika wa kuzitunga
[hariri | hariri chanzo]- "Same Ol' Same Ol" (PYT)[2]
- "Play" (Jennifer Lopez)[2]
- "Walk Away" (Paula DeAnda)[3]
- "Call Me, Beep Me (The Kim Possible Theme Song)" (kibwagizo cha Kim Possible)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Billboard.com - Artist Chart History - Christina Milian". Nielsen Company, Billboard magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 2008-06-09.
- ↑ 2.0 2.1 "Christina Milian". MTV. MTV Networks. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-24. Iliwekwa mnamo 2008-02-24.
- ↑ "Paula DeAnda - Walk Away (Remember Me)". Music Videos and Lyrics - Music Lovers Group. Music Lovers Group.com. Iliwekwa mnamo 2008-02-24.