Nenda kwa yaliyomo

AM to PM

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“AM to PM”
“AM to PM” cover
Single ya Christina Milian
kutoka katika albamu ya Christina Milian
Imetolewa 24 Julai 2001 (U.S.)
Muundo CD single, digital download, maxi single, 12" single
Aina Dance-pop
Urefu 3:52 (Toleo la Albamu)
3:34 (Toleo la Mainstream bila ya Kifungulio)
Studio Def Soul
Mtunzi Christina Milian, Christian Karlsson, Pontus Winnberg
Mtayarishaji Bloodshy na Avant
Mwenendo wa single za Christina Milian
"Between Me and You"
(2001)
"AM to PM"
(2001)
"When You Look at Me"
(2002)

"AM to PM" ni wimbo wa dansi-pop uliorekodiwa na mwimbaji wa muziki wa R&B-pop wa Kimarekani Bi. Christina Milian. Wimbo ulitungwa na Milian, Christian Karlsson na Pontus Winnberg, na kutayarishwa na Bloodshy na Avant kwa ajili ya albamu ya kwanza ya mwanadada huyo iliyokwenda kwa jina la Christina Milian, ambayo imetolewa 2001 na kuuufanya wimbo huu kuwa kama wimbo mkuu kutoka katika albamu hiyo.

Wimbo umepata kuwika kimataifa kwa kuweza kuingia katika kumi bora za baadhi ya nchi ikiwemo Ubelgiji, Denmark, Ireland, Uholanzi, Norwei na Uingereza. Kwa upande wa Marekani, ilipata kushika nafasi ya 27 katika chati za Billboard Hot 100 Bora. Wimbo huu ulifuatana sambamba kabisa na video yake iliyoongozwa na Bw. Dave Meyers.

Video yake

[hariri | hariri chanzo]
Chati (2001)[1] Nafasi
iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart 25
Belgian (Flanders) Singles Chart 9
Belgian (Wallonia) Singles Chart 31
Danish Singles Chart 4
Dutch Top 40 8
Finnish Singles Chart 17
French Singles Chart 53
German Singles Chart 59
Irish Singles Chart 6
Norwegian Singles Chart 7
Swedish Singles Chart 16
Swiss Singles Chart 28
UK Singles Chart 3
U.S. Billboard Hot 100 27
  1. "International Chart Performance". Swisscharts. Iliwekwa mnamo 2008-07-20.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]