It's About Time (albamu ya Christina Milian)
It's About Time | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Christina Milian | |||||
Imetolewa | 15 Juni 2004 (Japan) 13 Julai 2004 (Marekani) |
||||
Imerekodiwa | 2003–2004 | ||||
Aina | R&B, pop, urban pop | ||||
Urefu | 47:26 | ||||
Lebo | Island | ||||
Mtayarishaji | Bloodshy na Avant, Bradley & Stereo, Fontez Camp, Warryn Campbell, Bryan Michael Cox, Jasper Da Fatso, Rodney Jerkins, Poli Paul, Cory Rooney, Ez Tommy | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Christina Milian | |||||
|
It's About Time ni albamu ya pili ya mwimbaji wa Kimarekani Bi. Christina Milian. Albamu ilitolewa na studio ya Island Records mnamo 15 Juni 2004 katika Japan, na 13 Julai 2004 katika Marekani.[2]
Albamu hii imekuwa kama ya kwanza kwa Milian katika U.S. kwa tokeo la shambulio la kigaidi la 11 Septemba 2001, ambalo lilitokea wiki mbili kabla ya kutoa albamu yake ya awali. Kwa upande wa matayarisho ya albamu hii, Milian amefanya kazi na Bloodshy na Avant, Darkchild, Cory Rooney, Warryn Campbell, Bryan Cox na Poli Paul.
Albamu imepata kushika nafasi ya kumi na nne katika U.S. Billboard 200 Bora na kushika tena nafasi ya ishirini na moja katika UK, kwa kuuza jumla ya kopi 382,000 na 63,708 kisawawa. Albamu imetunikiwa medani ya fedha katika UK, na kupokea Tuzo za Grammy ikiwa kama albamu bora ya muizki wa R&B.
Single kutoka katika albamu hii ni Dip It Low ikifuatiwa na Whatever U Want ambayo kaimba na msanii Joe Budden, lakini single hizi zote mbili hazikupata mafanikio makubwa kabisa katika US na UK kwa ujumla.[3][4]
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]- "Intro"–1:06
- "Dip It Low" (akimshirikisha Fabolous)–3:39
- "I Need More"–3:17
- "Whatever U Want" (akimshirikisha Joe Budden)–3:49
- "Someday One Day"–4:32
- "Highway"–3:33
- "I'm Sorry"–3:44
- "Get Loose"–3:37
- "L.O.V.E" (akimshirikisha Joe Budden)–4:21
- "Peanut Butter & Jelly" (akimshirikisha Joe Budden)–3:46
- "Miss You Like Crazy"–4:49
- "Oh Daddy"–3:55
- "I Can Be That Woman" [wimbo wa ziada wa kimataifa]–3:13
- "Hands on Me" [wimbo wa ziada wa UK]–3:06
Toleo la Kijapani
[hariri | hariri chanzo]- "Dip It Low"–3:16
- "L.O.V.E."–3:45
- "Down for You"–3:39
- "Someday One Day"–4:31
- "Highway"–3:33
- "I Can Be That Woman"–3:13
- "Peanut Butter & Jelly"–3:46
- "Hands on Me"–3:06
- "7 Days"–4:17
- "Oh Daddy"–3:55
- "Miss You Like Crazy"–4:49
- "Dip It Low" [Remix] (akimshirikisha S-Word)–3:55
- "Dip It Low" [Full Intension Dub]–5:46
- "You Snooze, You Lose" [wimbo wa ziada]–3:31
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati | Nafasi iliyoshika[5][6] |
---|---|
Dutch Albums Chart | 66 |
French Albums Chart | 83 |
German Albums Chart | 55 |
Swiss Albums Chart | 35 |
Ireland Albums Chart | 74 |
UK Albums Chart | 21 |
U.S. Billboard 200 | 14 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gardner, Elysa (2004-06-14). "Phish's Final Studio Effort Flounders". USA Today. Iliwekwa mnamo 2008-07-25.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "Discography — Christina Milian — Discography — It's About Time". Billboard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 2008-09-12.
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help) - ↑ "New music reviews Life after Creed", en:San Antonio Express-News, 20 Agosti 2004. Retrieved on 2008-09-14.
- ↑ Capobianco, Ken. "Christina Milian — It's About Time", The Boston Globe, 25 Juni 2004. Retrieved on 2008-09-14.
- ↑ "Christina Milian – It's About Time – Music Charts". aCharts.us. Iliwekwa mnamo 2008-08-22.
- ↑ "Christina Milian – It's About Time". Swiss Music Charts. Iliwekwa mnamo 2008-08-22.