Nenda kwa yaliyomo

Chinwendu Ihezuo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chinwendu Ihezuo
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaNigeria Hariri
Nchi anayoitumikiaNigeria Hariri
Tarehe ya kuzaliwa30 Aprili 1997 Hariri
Mahali alipozaliwaLagos Hariri
Lugha ya asiliKiigbo Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Kiigbo, Nigerian Pidgin Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoNigeria women's national under-20 football team, BIIK Kazygurt, Nigeria women's national under-17 football team, Nigeria women's national football team Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji19 Hariri
Ameshiriki2019 FIFA Women's World Cup, football at the 2024 Summer Olympics – women's tournament Hariri

Chinwendu Ihezuo (* Ajegunle, Lagos, Nigeria, 30 Aprili 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kike kutoka nchini Nigeria.

Mwaka 2016 alikuwa mchezaji wa timu ya Nigeria chini ya umri wa miaka 20 na mshambuliaji wa klabu ya BIIK Kazygurt, Kazakhstan.[1]

Utoto na Familia

[hariri | hariri chanzo]

Ihezuo alizaliwa na kulelewa katika mtaa maskini wa Ajegunle ambayo ni sehemu ya jiji la Lagos. Alijifunza mpira wa miguu akicheza na wavulana barabarani. Hadi leo anapendelea kufanya mazoezi na wanaume. [2] Wazazi wake walimkubali tangu mwanzoni afuate mchezo wake.

Klabu ya kwanza kwa Ihezuo ilikuwa Pelican Stars wa Calabar kuanzia mwaka 2012 hadi 2014.[3] Kutoka hapo alihamia Delta Queens F.C. hadi 2015. Tangu mwaka 2016 ameendelea Kazakhstan.

  1. Chimwendu Ihezuo, UEFA Women's Champions League
  2. Ajegunle boys made me fall in love with football — Ihezuo, Punch Newspapers 24 Aprili 2016, iliangaliwa 1 Machi 2017
  3. Ihezuo, Ayinde to receive FIFA honours, 12 Disemba 2012 , The Premium Times, Nigeria
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chinwendu Ihezuo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.