Nenda kwa yaliyomo

Bruno wa Querfurt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Bruno Magdeburgensis)
Mchoro wa ukutani ukionyesha kifodini cha Mt. Bruno (kwa kukatwa kichwa).

Bruno wa Querfurt, O.S.B.Cam. (Querfurt, leo katika Saxony-Anhalt, Ujerumani, 974 hivi – Moravia Mashariki, 14 Februari au 9/14 Machi 1009) alivutiwa na karama ya Romwaldo akaamua kuwa mmonaki wa urekebisho wa Wabenedikto wa Camaldoli alipofika Italia kuongozana na kaisari Oto III. [1]

Aliporudi Ujerumani alifanywa askofu na Papa Yohane X. Katifa safari ya kimisionari aliuawa na Wapagani pamoja na wenzake 18 huko Ulaya mashariki (kati ya Lituania na Ukraina).

Tangu kale Bruno na wenzake wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Machi[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. [1]
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.