Batiki
Batiki ni ufundi wa uchapaji urembo kwenye nguo kwa kutumia rangi na nta ambao una asili ya Indonesia. [1]
Batiki hutokana na kuchorwa kwa matone na mistari kwa kutumia nyenzo iitwayo tjanting au kwa kutumia nyenzo ya shaba iitwayo cap.[2]
Desturi ya kutengeneza nguo za batiki ipo katika nchi mbalimbali ila Indonesia ndiyo nchi inayojulikana zaidi kwa desturi hii.[3][4]
Ingawa batiki inatengenezwa kwenye miji mbalimbali huko Indoesia[5], batiki ya kisiwa cha Java ndiyo inayoaminika kuwa ya ustadi wa juu kabisa duniani.
Mnamo Oktoba 2009, UNESCO iliitambua batiki ya Indonesia kuwa Masterpiece of Oral and Intangible Heritage of Humanity.[6]
Neno batik linatokana na lugha ya Kijava. Huenda limetokana na neno la Kijava amba ('kuandika') na titik ('kitone'), au limetokana na neno lenye asili ya Proto-Austronesia *beCík ('kuchora mwilini'). Neno hili lilitokea kwa mara ya kwanza kwenye Kamusi Elezo ya Britannica mwaka 1880, ambapo liliandikwa battik. Wakati wa ukoloni wa Uholanzi maneno yaliyotumika ni pamoja na: mbatek, mbatik, batek na batik.[7][8][9]
Marejeo
- ↑ "What is Batik?". The Batik Guild.
- ↑ The Jakarta Post Life team. "Batik: a cultural dilemma of infatuation and appreciation", The Jakarta Post.
- ↑ Robert Pore (12 Februari 2017). "A unique style, Hastings artist captures wonder of crane migration". The Independent.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Sucheta Rawal (4 Oktoba 2016). "The Many Faces of Sustainable Tourism - My Week in Bali". Huffingtonpost.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Handwriting Batik (Batik Tulis) And Cities In Indonesia That Produce It". Iliwekwa mnamo Juni 26, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ ""Indonesian Batik", Inscribed in 2009 on the Representative List of the Intangible Cultural Heritage of Humanity". UNESCO. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Oktoba 2014. Iliwekwa mnamo 10 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Oxford English Dictionary: Batik
- ↑ Dictionary.com: Batik
- ↑ Blust, Robert (Winter 1989). "Austronesian Etymologies - IV". Oceanic Linguistics. 28 (2): 111–180. doi:10.2307/3623057. JSTOR 3623057.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
- UNESCO: Indonesian Batik, Representative of the Intangible Cultural Heritage of Humanity - 2009
- Video tutorial about African batik
- Early Indonesian textiles from three island cultures: Sumba, Toraja, Lampung, exhibition catalogue from Metropolitan Museum of Art Libraries
- Batik, the Traditional Fabric of Indonesia an article about batik from Living in Indonesia
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Batiki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |