Banana Yaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Banana Yaya (alizaliwa 29 Julai 1991) ni mchezaji wa soka wa Kamerun ambaye anacheza kama beki wa kati katika klabu ya Panionios kwa mkopo kutoka Olympiacos.

Ana uzito wa kilo 108 na urefu wa mita 1.92.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Yaya alicheza kwa mara ya kwanza Cameroon katika mechi ya kirafiki dhidi ya Thailand mwezi Machi 2015.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Banana Yaya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.