Kitaumande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Athene (jenasi))
Jump to navigation Jump to search
Kitaumande
Kitaumande miraba
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Strigiformes (Ndege kama bundi)
Familia: Strigidae (Ndege walio na mnasaba na bundi)
Nusufamilia: Surniinae (Ndege walio na mnasaba na bundi-panga)
Jenasi: Aegolius Kaup, 1829

Athene Boie, 1822
Glaucidium Boie, 1826
Micrathene Coues, 1866
Xenoglaux O'Neill & G.R. Graves, 1977

Spishi: Angalia matini

Vitaumande ni ndege mbua wa jenasi mbalimbali wa nusufamilia Surniinae katika familia Strigidae. Ndege hawa ni wadogo kuliko bundi (sm 12-28) na wana rangi ya kahawa au kijivu pamoja na miraba au madoa. Vitaumande hula panya na wanyama na ndege wadogo wengine na hata wadudu, watambaazi wadogo, popo na samaki. Huwinda wakati wa magharibi au alfajiri au hata mchana lakini si usiku kwa kawaida. Jike huyataga mayai 2-7 katika shimo lililoachwa na ndege mwingine, mara nyingi lile la kigong'ota au zuakulu.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Spishi za kabla ya historia[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]