Anatomia
Mandhari
(Elekezwa kutoka Anatomy)
Anatomia (pia anatomi[1], en:anatomy, kutoka Kigiriki ἀνατέμνειν anatemnein - kupasua, kufungua) ni elimu ya miili ya viumbehai kama binadamu, wanyama na mimea. Inachungulia muundo na umbile la mwili na sehemu au viungo vyake.
Wataalamu wa anatomia hufungua mwili na kuikata kwa sehemu zake kwa kusudi la kuongeza elimu ya muundo wake.
Elimu hii inasaidia kuelewa magonjwa, pamoja na sababu na matokeo yake. Ni pia msingi wa mafundisho ya tiba na elimu ya matibabu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Angalia mengine kuhusu Anatomy kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
- Anatomia katika Open Directory Project
- Anatomy Archived 17 Februari 2015 at the Wayback Machine., In Our Time. BBC Radio 4. Melvyn Bragg with guests Ruth Richardson, Andrew Cunningham and Harold Ellis.
- "Anatomy of the Human Body". 20th edition. 1918. Henry Gray
- Anatomia Collection: anatomical plates 1522 to 1867 (digitized books and images)
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anatomia kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |