Amy Nimr
Amy Nimr (anajulikana pia kama Amy Smart; 1898 - 1974) alikuwa msanii, mwandishi na mlezi wa sanaa mzaliwa wa Misri[1]. Anajulikana kwa kushirikiana na kikundi cha Cairo Art et Liberté.[2] Baba yake alikua mtu maarufu katika masaala ya vyombo vya habari.[3]
Maisha yake ya mwanzoni ikiwemo na elimu yake
[hariri | hariri chanzo]Amy Nimr alizaliwa Cairo katika familia ya kiwango cha juu. Rekodi yake rasmi ya kuzaliwa inasema kwamba alizaliwa mnamo 1907 lakini wengi wanaamini kuna uwezekano mkubwa kwamba alizaliwa mnamo 9 Agosti 1898.
Ingawa yeye ni Misri katika utaifa, mama ya Nimr, Ellen Eynaud, alikuwa Mwingereza, Mfaransa na Mkaustria na baba yake, Faris Nimr, alikuwa na asili ya Lebanoni-Syria. Baba yake pia alikuwa maarufu "media mogul" ambaye, mnamo 1879 na mwenzake, alianzisha jarida la kisayansi na fasihi al-Muqataf. Baadaye mnamo 1889, baada ya kuhamia Misri kutoka Beirut, walianzisha gazeti la jioni al-Muqattam.
Kukua, Nimr alipata elimu ya Magharibi. Alitumia muda wake kati ya Misri, Ufaransa na Uingereza. Alihudhuria Chuo cha Wanawake cha Cheltenham na baadaye alihudhuria Shule ya Slade ya Sanaa Nzuri huko London kutoka 1916 hadi 1920, pia alikuwa ni mwanafunzi wa semina ya uchoraji wa post-impressionist Walter Sickert.
Sanaa yake na kazi
[hariri | hariri chanzo]Kazi ya Nimiri uko uropa ilipotea. Alionesha kwa mara ya kwanza huko Paris kwenye Salon d'Automne ya 1925 na alikuwa na maonyesho yake ya kwanza ya solo katika Jumba la sanaa la Bernheim-Jeune mwaka mmoja baadaye mnamo 1926. Umaarufu wake huko Misri uliwezeshwa na maonyesho kadhaa ya umma kwenye Salon du Caire ya kila mwaka kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1930. Inasemekana kuwa kazi yake ilivutia mchoraji Mahmoud Sa'id, mmoja wa watu mashuhuri wa sanaa ya kisasa ya Misri, na Jean Moscatelli, mmoja wa washiriki waanzilishi wa Kikundi cha Sanaa na Uhuru. Vile vile, mwandishi Ahmed Rassim (pia binamu wa Mahmoud Sa'id) aliandika kitabu kifupi juu yake. Kati ya mwaka 1930 na 1935 alionekana katika Warren Gallery uko Landon, Vignon Gallery uko Paris na Kasr al-Doubarah Gallery uko Cairo. Ilikuwa uropa amba[po alipata ufahamu wa uhakika na ufahamu na kuonyresha orodha mfano Barbara Hepworth na Robert Medley.[4] mume wake alichukua nafasi kubwa katika kumsaidia juu ya Sanaa yake. Walizindua nyumba yao uko Zamalek inayo husu sana pamoja na wanauhuru wenzake, aliwatambulisha kwenye "pia alienda kuwashirikisha kifikra pamoja na Henry Miller mzunguko katika Villa Seurat"ambayo alipata alipo fika paris pindi alipo jichanganya na wengine.[4] pia alizindua saluni nyumbani kwake ili iwarahisishie wasani kazi nakuwasaidia kujikimu kimaisha.[4]
Michoro yake ya kwanza (pre-Art and Liberty) ilikuwa ina elezea zaidi kuhusiana na jamii yake ya Egpt alitumia mitindo ya asili yakiingereza kama chiaroscuro. Michoro yake ya rangi mwanzoni ilikuwa ina husu sanamu zaki Nubians Bedouin kwanzia alipotembelea katika jami ya wa Egypt na michoro ya wanawake wa kinudia , sudani, na sahara ya Africa.[5] Mtindo wake ulibadilika mnamo mwaka- 1940s-1943, alikutana na matatizo ya ghafla yalio husisha afya yake. Wakati akiwa na mshtuko katika jangwa la Saqqara wakati mumewe na mwanawe Micky walipo uwawa na wanamigodi . Aliamua kurudi na kuchora michoro ya rangi inayohusiana Zaidi na fuvu zenyekuelezea mauwaji ya wakoloni wakiingereza katika vita vya pili vya dunia.[2] kati ya 1940s, alipata kuona matokeo ya kazi yake[4] kwenye mwaka 1945, aliandika kazi ya sana yenye kumkosoa Alexandria- shairi lenye asili ya ugiriki, liitwalo Constantine P. Cavafy|Constantine Cavafy kwa uhakika wa vita wa wakibinafsi alianza kwa kuandika Lawrence Durrell na Robin Feddenakiwa pamoja na profesa wa Cairo University.alikuwa ni mu Egypt wapeke alieongoza nakala.
Baada ya mapinduzi ya Egypt 1952 pia alikuwa kama mwanamapinduzi kwenye suzi canal Egypty mwaka 1956 nakukuwa kwa mapinduzi mnamo miaka ya 1950 Ramses Younan, kazi ya Nimiri ili anza kutoweka[2] "Uzoefu wake kwa mara ya mwishomulionekana uko Galerie de Marignan Paris in 1961.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Although she is Egyptian in nationality, Nimr's mother, Ellen Eynaud, was British, French and Austrian and her father, Faris Nimr, was of Lebanese-Syrian origin.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 "Amy Nimr". AWARE Women artists / Femmes artistes. Iliwekwa mnamo 2020-04-30.
- ↑ "Obituary". Journal of the Royal Central Asian Society (kwa Kiingereza). 39 (2): 167–170. 1952. doi:10.1080/03068375208731440. ISSN 0035-8789.
- ↑ 4.0 4.1 4.2 4.3 Bardaouil, Sam; Fellrath, Till (2016). Art et Liberté: Rupture, War and Surrealism in Egypt (1938-1948). Éditions Skira Paris. ku. 29, 218. ISBN 978-2370740311.
- ↑ Radwan, Nadia (2017). "Chapter 4: Ideal Nudes and Iconic Bodies in the Works of the Egyptian Pioneers". Katika Esanu, Octavian (mhr.). Art, Awakening, and Modernity in the Middle East: The Arab Nude. Routledge.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amy Nimr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |