Ako Group Ltd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ako Group Ltd
AinaUsimamizi wa vifaa vya kazi na vyakula
IlipoanzishwaTanzania
WaanzishiH. Koka
Makao MakuuDar es Salaam
Idadi ya vituo24
Wafanyakazi4000

Ako Group Ltd ni kampuni mama iliyojikita katika masuala ya usimamizi wa vifaa vya kazi na huduma za upishi kutoka Tanzania. Inamilikiwa na Watanzania 100% na iligundulika mnamo 1992 na Mwenyekiti wa sasa wa kampuni hiyo ni SF Koka.[1]

Tangu kuanziswha kwake, kampuni hiyo imeendelea kupanuka kwa kasi kutoka kuhudumia mtu mmojammoja chini ya mfanyakazi mmoja mpaka sasa inapotoa huduma na kutambulika kimataifa chini ya mwamvuli wa "Ako Group Ltd".[2][3]

Utaalam[hariri | hariri chanzo]

Tangu kuanzishwa lengo kuu lilikuwa kutoa huduma za usimamizi wa vifaa kazi na masuala ya vyakula vikiwemo:

 • Huduma za vyakula
 • Usafishaji mavazi
 • Utunzaji nyumba na usafishaji [4]
 • Ukasanyaji uchafu na mabaki ya bidhaa na vitu mbalimbali
 • Utunzaji bustani na upangiliaji ardhi
 • Uundaji na utengenezaji wa nyumba za muda kwa mahitaji maalumu
 • Usafirishaji n.k.

Kwa ujumla AKO hutoa huduma za vifaa kazi vinavyohitajika popote pale barani Afrika na hutambulika kama kampuni yenye huduma nyingi, hivyo kupelekea kuenea kwake Afrika ya Mashariki, kutokana na kujikita katika nyanja mbalimbali kama vile:

 • Madini
 • Mafuta na gesi
 • Rimoti na uundaji wa matengenezo ya miradi mikubwa
 • Saruji
 • Usindikaji na vyupa
 • Kilimo
 • Taasisi za serikali
 • Hospitali
 • Huduma za kibenki
 • Huduma za kielimu

Tangu kuanzishwa kwake mpaka sasa imeweza kufanya kazi na makampuni mbalimbali ndani na nje ya Afrika, kwa mfano:

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. Ako Group (2016-12-22). AKO_company_profile. https://www.slideshare.net/AkoGroup/akocompanyprofile.
 2. 5 New Jobs Opportunities at AKO Group Limited - Housekeepers May, 2020 - AjiraLeo Tanzania. www.ajiraleo.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-01.
 3. Contact information for Ako Group Ltd, Safety Solutions Address N/A. Ako Group Ltd.,Safety Solutions, N/A | Buyer Report — Panjiva (en). panjiva.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-01.
 4. 5 Job Opportunities at AKO Group Limited - Housekeepers. Iliwekwa mnamo 2020-08-01.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ako Group Ltd kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.