Nenda kwa yaliyomo

Akissi Delta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Akissi Delta

Amezaliwa 5 Machi1960
Dimbokro
Kazi yake Mtengenezaji wa Filamu

Akissi Delta (anajulikana kama Loukou Akisse Delphine; alizaliwa Dimbokro, 5 Machi 1960) ni mwigizaji na mtengenezaji wa filamu kutoka Ivory Coast.

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Akissi Delta hakuwahi hata mara moja kuhudhuria shule[1]. Alianza shughuli za sanaa kama mwanamitindo na mcheza dansi, aliigiza katika Léonard Groguhet na katika filamu kadhaa za Henri Duparc. Mnamo mwaka 2002 aliunda kipindi cha televisheni cha Ma Famille.[2]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Augustin Tapé, Akissi Delta: l'analphabète qui a su se faire un place dans le cinéma ivoirien, Gender Links for Equality and Justice, June 21, 2015.
  2. Kenneth W. Harrow; Carmela Garritano (2018). A Companion to African Cinema. Wiley. uk. 305. ISBN 978-1-119-09985-7.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akissi Delta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.