Nenda kwa yaliyomo

Ahmed Ben Bella

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ahmed Ben Bella

Raisi Ahmed Ben Bella
Amekufa 11 Aprili 2012
Nchi Algeria
Kazi yake Mwanasiasa

Ahmed Ben Bella (26 Desemba 1916 - 11 Aprili 2012) alikuwa mwanasiasa, mwanajeshi na mwanamapinduzi wa kisoshalisti wa Algeria ambaye aliwahi kuwa mkuu wa serikali kuanzia tarehe 27 Septemba 1962 hadi 15 Septemba 1963 na kisha Rais wa kwanza wa Algeria kutoka 15 Septemba 1963 hadi 19 Juni 1965.

Maisha Ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Ahmed Ben Bella alizaliwa tarehe 26 Desemba 1916 katika wilaya ya Maghnia. Wazazi wake walikuwa wahamiaji kutoka Morocco. [1]

Utumishi na Jeshi la Ufaransa[hariri | hariri chanzo]

Ben Bella alijitolea kwa mara ya kwanza kutumika katika Jeshi la Ufaransa mwaka 1936. Jeshi lilikuwa mojawapo ya njia chache za maendeleo kwa Algeria chini ya utawala wa kikoloni na uandikishaji wa hiari ulikuwa wa kawaida. Alipotumwa kwenda nchi Marseille, alicheza kiungo wa kati wa klabu ya Olympique de Marseille mnamo 1939-1940. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mort de Ben Bella, héros de l'indépendance algérienne", Le Monde.fr, 2012-04-11. (fr) 
  2. "Ben Bella profile on om-passion, unofficial Olympique de Marseille site". Om-passion.com. 24 Oktoba 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Februari 2009. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2012. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Ben Bella kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.