Nenda kwa yaliyomo

Diaspora ya Waafrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka African diaspora)
African diaspora
Maeneo penye idadi kubwa kiasi
 Brazil 108,200,000
 Marekani 46,350,467[1]
 Haiti 9,925,365
 Kolombia 4,944,400 [2][3][4]
 Ufaransa 3,300,000-5,500,000
 Yemen 3,500,000
 Saudi Arabia 3,370,000
 Jamaika 2,510,000
 Ufalme wa Muungano 1,904,684
 Mexiko 1,386,556[5]
 Kanada 1,198,540
 Hispania 1,191,378
 Jamhuri ya Dominika 1,138,471
 Italia 1,091,646
 Venezuela 1,087,427
 Ekuador 1,080,864
 Kuba 1,034,044
 Ujerumani 1,000,000
Template loop detected: Kigezo:Country data Puerto Rico 979,842
 Peru 875,427
 Trinidad and Tobago 607,472

Diaspora ya Waafrika inahusu jumuia za watu duniani kote ambazo zina asili yake katika Waafrika waliohama bara lao au waliohamishwa wakati wa historia kuandikwa[6].

Katika hizo, kubwa zaidi ni zile za Brazil, Marekani na Haiti.[7]

Umoja wa Afrika unafafanua hivi mtawanyiko[8] huo:

"[unaundwa] na watu wenye asili ya Afrika ambao wanaishi nje ya bara hilo, bila kujali uraia na utaifa wao na wana nia ya kuchangia maendeleo ya bara na ujenzi wa Umoja wa Afrika."

Hati ya kuuanzisha inatamka kwamba

"utaalika na kuhimiza diaspora ya Waafrika ishiriki kikamilifu kama sehemu muhimu ya bara letu."[9]

  1. {{cite web|url=https://www.census.gov/content/dam/Census/newsroom/facts-for-features/2017/cb17-ff01.pdf%7Ctitle=February 2017 - U.S. Census Bureau] [[PDF]|website=census.gov|accessdate=2 September 2017}}
  2. "visibilización estadística de los grupos étnicos" (PDF). Censo General 2005. Departamento Administrativo Nacional de Estadistica (DANE). Iliwekwa mnamo 15 Juni 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Bushnell, David & Rex A. Hudson (2010) "The Society and Its Environment"; Colombia: a country study: pp. 87, 92. Washingtion D.C.: Federal Research Division, Library of Congress.
  4. "Ethnic groups in Colombia" (PDF) (kwa Spanish). dane.gov.co. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 26 Machi 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  5. "Principales resultados de la Encuesta Intercensal 2015 Estados Unidos Mexicanos" (PDF). INEGI. uk. 77. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2017-04-22. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Harris, J. E. (1993). "Introduction" In J. E. Harris (ed.), Global Dimensions of the African Diaspora, pp. 8–9.
  7. Ade Ajayi, J. F; International Scientific Committee For The Drafting Of a General History Of Africa, Unesco (1998-07-01). General History of Africa. ku. 305–15. ISBN 978-0-520-06701-1. via Google Books
  8. The term "diaspora" originates from the Greek διασπορά (diaspora, literally "scattering") which gained popularity in English in reference to the Jewish diaspora before being more broadly applied to other populations.In an article published in 1991, William Safran set out six rules to distinguish "diasporas" from general migrant communities. While Safran's definitions were influenced by the idea of the Jewish diaspora, he recognised the expanding use of the term. Rogers Brubaker (2005) also noted that use of the term "diaspora" was in the process of being used in an increasingly general sense. He suggests that one element of this expansion in use "involves the application of the term diaspora to an ever-broadening set of cases: essentially to any and every nameable population category that is to some extent dispersed in space". An early example of the use of "African diaspora" appears in the title of Sidney Lemelle, Robin D. G. Kelley, Imagining Home: Class, Culture and Nationalism in the African Diaspora (1994).
  9. "The Diaspora Division". Statement. The Citizens and Diaspora Organizations Directorate (CIDO). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-12-01. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]