2023 barani Asia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya matukio ambayo yalifanyika bara la Asia mnamo mwaka 2023.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

  • 13 Januari - 29 Januari - 2023 Kombe la Dunia la Hoki la FIH la Wanaume.
  • Tarehe 6 Julai : Mabadiliko ya uchaguzi Hong Kong ya 2023 yakidhibitishwa na kuidhinishwa na Baraza la Kutunga Sheria.Ambapo Viti vya uchaguzi vya moja kwa moja kwa madiwani wa wilaya vilipungua kutoka 452 kati ya 479 (94%), hadi 88 kati ya 470 (19%), ikiunda Kamati ya Mapitio ya Ustahiki wa Halmashauri ya Wilaya kwa ajili ya kupitia upya uhalali wa kila Wagombea wa Halmashauri ya Wilaya. [1]

Matukio Yaliyopangwa Na Yaliyotabiriwa[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]