Šiprage

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Bosnia na Herzegovina.

Šiprage (kwa Kikroatia: Šiprage; kwa Kikirili: Шипраге) ni mji wa Bosnia na Herzegovina . Mwaka 2003 ilikuwa na wakazi lakhi tatu.

Mji uko kando ya mto Vrbanje kwenye bonde la milima ya Dinari.

Šiprage ina sifa ya ushirikiano mwema kati ya watu wa dini na madhehebu mbalimbali kwa karne nyingi. Kuna misikiti ya Kiislamu na makanisa.

Lakini mwisho wa karne ya 20 Bosnia iliingia katika vita iliyosababishwa na kusambaratika kwa Yugoslavia na suala la mipaka ya Serbia.

Sehemu za Šiprage ziliharibiwa na kujengwa upya.

Bosnia ilikuwa mahali ambako uuaji wa mfalme mteule wa Austria-Hungaria tarehe 28 Juni 1914 yalisababisha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.

Tabia nchi[hariri | hariri chanzo]

Ø t°
(°C)
Min. t°
(°C)
Max. t°
(°C)
↓↓↓
(mm)
I –1,7 –4,8 1,4 59
II 0,3 –3,6 4,2 63
III 4,6 –0,1 9,3 59
IV 9,1 3,9 14,3 74
V 13,6 8,1 19,2 90
VI 17,2 11,5 22,9 99
VII 18,9 12,6 25,3 81
VIII 18,4 11,9 24,9 76
IX 14,7 8,6 20,9 71
X 9,5 4,7 14,4 79
XI 4,4 1,0 7,8 100
XII 0,1 –2,7 3,0 88

[1]

Idadi ya watu[hariri | hariri chanzo]

Idadi ya watu: 1961-2013

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Coordinates: 44°27′58″N 17°33′36″E / 44.466°N 17.560°E / 44.466; 17.560

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Šiprage kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.