Éder Militão

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Eder Gabriel Militão (alizaliwa 18 Januari 1998) ni mchezaji wa soka wa Brazili ambaye anacheza kama beki wa kati au kiungo mkabaji wa klabu ya FC Porto.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Sertãozinho, São Paulo, nchini Brazili, Militão alianza kucheza mpira na vijana wa São Paulo mwaka 2010.

Alikuwa beki bora katika timu ya kwanza ya 2016 Copa Paulista.

Tarehe 7 Agosti 2018, Militão alisaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa wa Ureno FC Porto. Alicheza mechi ya kwanza na Porto mnamo 2 Septemba, akianza na ushindi wa nyumbani wa 3-0. Yeye alisababisha magoli mawili kwa Héctor Herrera.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Éder Militão kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.