Héctor Herrera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Héctor Herrera
Héctor Herrera na Mesut Özil

Héctor Miguel Herrera (alizaliwa 19 Aprili 1990) ni mchezaji wa soka wa Mexico ambaye sasa anacheza kama kiungo wa klabu ya Ureno Porto na timu ya taifa ya Mexico.

Herrera alianza kazi yake na klabu ya Pachuca mwaka 2010 na alitumia miaka mitatu katika klabu hiyo kabla ya kuhamia Porto. Alijitahidi kwa kucheza wakati wa msimu wake wa kwanza kwenye klabu hiyo, Katika msimu wa 2015-16, Herrera aliitwa nahodha wa klabu hiyo.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Héctor Herrera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.