Yohane Mbatizaji Piamarta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Yohane Mbatizaji Piamarta.

Yohane Mbatizaji Piamarta (Brescia, 26 Novemba 1841Remedello, 25 Aprili 1913) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini.

Alianzisha shirika la Familia takatifu ya Nazareti (1900) kwa ajili ya malezi ya vijana, yaliyokuwa lengo lake toka mwanzo, kwamba wajifunze imani na kazi pamoja [1].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 12 Oktoba 1997, halafu mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 21 Oktoba 2012.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.