Vinsenti wa Paulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mt. Vinsenti wa Paulo.

Vinsenti wa Paulo alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa (Pouy, Gascony 24 Aprili 1581 - Paris 27 Septemba 1660).

Ni maarufu hasa kwa huruma yake kwa maskini na kama mwanzilishi wa mashirika mawili ya kitawa.

Alitangazwa na Papa Benedikto XIII kuwa mwenye heri tarehe 13 Agosti 1729, halafu Papa Klementi XII akamtangaza mtakatifu tarehe 16 Juni 1737.

[hariri] Viungo vya nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vinsenti wa Paulo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine