Rhythm Divine
| “Rhythm Divine” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
| Single ya Enrique Iglesias kutoka katika albamu ya Enrique |
|||||
| Imetolewa | 9 Oktoba 1999 (Marekani) | ||||
| Muundo | CD single | ||||
| Imerekodiwa | Agosti-Septemba 1999 | ||||
| Aina | Latin pop, Pop | ||||
| Urefu | 3:30 | ||||
| Studio | Interscope Records, Overbrook, Universal | ||||
| Mtunzi | Paul Barry na Mark Taylor | ||||
| Mtayarishaji | Mark Taylor na Brian Rawling | ||||
| Mwenendo wa single za Enrique Iglesias | |||||
|
|||||
| Makasha badala | |||||
| 200px
Kasha ya Single Pt. 2
|
|||||
"Rhythm Divine" ni jina la kutaja single ya kwanza iliyotolewa na Enrique Iglesias kutoka katika albamu yake ya lugha ya Kiingereza, Enrique. Kibao hiki kilitungwa na kutayarishwa na kikosi kilekile kilichotayarisha kibao chake kikali cha "Bailamos", Paul Barry, Mark Taylor na Brian Rawling. Video ya wimbo huu iliongozwa na Francis Lawrence.
Yaliyomo |
Mapokeo ya kitahikiki [hariri]
Kulingana na http://www.billboard.com katika tahakiki ya single, Enrique Iglesias ameleta "ufahamu wa jitihada za kuweza kudumu kwenye chati za 40"[1], kibao hiki ni mfano tosha kwa "wasanii wa crossover kujipatia nafasi ya kupanda ngazi ya mafanikio"[2]. Naye hufananishwa na mwimbaji mwenzake wa Kilatini Ricky Martin: "Tofauti na mwenzake Ricky Martin, Iglesias yupo mbali sana kwa kujulikana.
Orodha ya nyimbo [hariri]
- UK CD1
- "Rhythm Divine" - 3:29
- "Bailamos" (Eric Morillo Main Vocal Mix) - 6:30
- "Rhythm Divine" (Video) - 3:29
- UK CD2
- "Rhythm Divine" (Morales Radio Mix) - 3:13
- "Rhythm Divine" (Fernando G Club Mix) - 5:37
- "Rhythm Divine" (Mijango's Extended Mix) - 6:57
Michakaliko ya chati [hariri]
Kibao hiki hakikupata mafanikio kama jinsi ilivyokuwa kwa "Bailamos", hata hivyo imejikongoja na kufikia katika 50 Bora huko nchini Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Australia na Uholanzi. Toleo la Kihispania la kibao hiki, -liitwa "Ritmo Total" imeshika nafasi ya kwanza kwenye Billboard Hot Latin Tracks (kwa majuma manne) na Hispania. Kibao hiki kimekwenda katika platinumu nchini Urusi kwa kuuza nakala 200,000[3].
| Chati (1999)/(2000) | Nafasi iliyoshika |
|---|---|
| Australia ARIA | 36 |
| Ufaransa Top 100 | 27 |
| Italia | 7 |
| Ujeruamani Top 50 | 36 |
| Uholanzi | 20 |
| New Zealand [4] | 2 |
| Hispania | 1 |
| UK Singles Chart | 45 |
| US Billboard Hot 100 [5] | 32 |
| US Billboard Hot Latin Tracks[6] | 1 |
| US Billboard Hot Dance Club Play [7] | 4 |
Marejeo [hariri]
- ↑ "Rhythm Divine review" on Billboard.com. Rudishwa juu ya 1999-10-23.[dead link]
- ↑ "Rhythm Divine review" on Billboard.com. Rudishwa juu ya 1999-10-23.[dead link]
- ↑ http://2m-online.ru/news/detail.php?ID=5658
- ↑ NZ RIANZ Top 50.
- ↑ "The Billboard Hot 100" on Billboard.com. Rudishwa juu ya 1999-12-04.[dead link]
- ↑ "Hot Latin Tracks" on Billboard.com. Rudishwa juu ya 2000-01-01.[dead link]
- ↑ "Hot Dance Club Play" on Billboard.com. Rudishwa juu ya 1999-12-11.[dead link]