Enrique Iglesias
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Enrique Iglesias | |
|---|---|
Enrique Iglesias
|
|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Enrique Miguel Iglesias Preysler |
| Amezaliwa | 8 Mei 1975 Madrid, Hispania |
| Asili yake | Miami, Florida, USA |
| Aina ya muziki | Pop, Latin pop, R&B |
| Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi |
| Ala | Sauti |
| Miaka ya kazi | 1995–hadi leo |
| Studio | Interscope, Universal Music Latino |
| Ameshirikiana na | Nadiya, Lil Wayne, Sean Garrett, Ciara, Whitney Houston, Sarah Connor, Lionel Richie, Kelis, Gabriella Cilmi, Tyssem |
| Tovuti | www.enriqueiglesias.com |
Enrique Miguel Iglesias Preysler (amezaliwa tar. 8 Mei, 1975, mjini Madrid, Hispania) ni mwimbaji wa muziki aina ya pop, mtunzi na mwigizaji wa filamu kutoka nchi ya Hispania. Ni mtoto wa mwimbaji wa muziki bwana Julio Iglesias na mwandishi wa habari, mwanamitindo na mtangazaji wa vipindi vya telesheni wa Kifilipino Bi. Isabel Preysler.
Enrique alianza shughuli za muziki na studio moja iitwayo Fonovisa Records ambayo ndio iliomsadia kuwa miongoni mwa wanamuziki maarufu huko Latin Amerika na katika soko la muziki wa Kilatin huko Marekani, na kuuza albamu nyingi za Kihispania kuliko msanii yoyote yule wa Kihispania, kwa muda wote.
Yaliyomo |
[hariri] Diskografia
[hariri] Studio Albamu kwa Kihispania
- 1995: Enrique Iglesias
- 1997: Vivir
- 1998: Cosas del Amor
- 2002: Quizás
[hariri] Studio Albamu kwa Kiingereza
- 1999: Enrique
- 2001: Escape
- 2003: 7
- 2007: Insomniac
[hariri] Kompilesheni
- 1998: Remixes
- 1999: Bailamos Greatest Hits
- 1999: The Best Hits
- 2008: Enrique Iglesias: 95/08 Exitos
- 2008: Greatest Hits
[hariri] Viungo vya Nje
- Tovuti rasmi ya Enrique Iglesias
- Enrique Iglesias video interview 2007 - In Bed With Enrique Iglesias
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Enrique Iglesias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |