Pofu (jenasi)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Pofu | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Pofu milia
(Giant eland) |
||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Pofu, mbungu au mbunju ni wanyamapori wa jenasi Taurotragus katika familia Bovidae. Wanatokea savana zenye miti katika Afrika. Wanyama hawa ni wakubwa kuliko spishi nyingine za Bovidae za Afrika. Rangi yao ni kahawianyekundu, kahawia, hudhurungi au kijivu na mara nyingi wana milia ya wima mbavuni. Wana ngozi ndefu chini ya koo lao. Pembe zao ni ndefu kiasi, zile za jike ndefu kuliko zile za dume.
Spishi [hariri]
- Taurotragus derbianus Pofu Milia (Giant Eland)
- Taurotragus d. derbianus Pofu Magharibi (Western Giant Eland)
- Taurotragus d. gigas Pofu wa Kati (Eastern Giant Eland)
- Taurotragus oryx Pofu (Common Eland)
- Taurotragus o. livingstonei Pofu wa Livingstone (Zambezi Eland)
- Taurotragus o. oryx Pofu Kusi (Cape Eland)
- Taurotragus o. pattersonianus Pofu Kaskazi (East African Eland)
Picha [hariri]
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pofu (jenasi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.