Mariana wa Molokai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Marianne Cope)
Mt. Marianne Cope muda mfupi kabla hajahamia visiwa wa Hawaii (1883).
Mama Marianne Cope karibu na jeneza la Damiano wa Molokai.
Mama Marianne Cope (katika baiskeli) siku chache kabla hajafariki dunia.

Mariana wa Molokai au Marianne Cope (jina la awali kwa Kijerumani likiwa Maria Anna Barbara Koob; Heppenheim, Hesse, 23 Januari 1838 - Kalaupapa, Hawaii, leo nchini Marekani, 9 Agosti 1918) alikuwa mtawa wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

Alipata umaarufu kwa kuhudumia wakoma hadi kifo chake, mmojawao Damiano wa Molokai.

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Mei 2005 na mtakatifu tarehe 21 Oktoba 2012.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Januari[1], au 15 Aprili au 9 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Blessed Marianne Cope Canonization Director. "Blessed Marianne Cope Cause". Sisters of St. Francis, Syracuse, New York. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-15. Iliwekwa mnamo Mar 19, 2010. 
  • "Blessed Marianne Cope". Patron Saints Index. Catholic Forum. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-12-31. Iliwekwa mnamo Mar 19, 2010. 
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.