Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christlich Demokratische Union Deutschlands
CDU logo
Kiongozi Dk. Angela Merkel (Chansela)
Kimeanzishwa 1870 (Kama Centre Party)
1945 (CDU)
Makao Makuu Klingelhöferstraße 8
10785 Berlin
Itakadi ya Chama Christian Democracy, Conservatism
Ushirikiano wa Kimataifa Christian Democrat International na International Democrat Union
Ushirikiano kwa Ulaya {{{Ulaya}}}
Kundi la Ubunge wa Ulaya {{{bunge la ulaya}}}
Rangi Black, Orange
Tovuti www.cdu.de
Tazama pia Siasa ya Ujerumani

Vyama vya Kisiasa
Uchaguzi

Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani au Christlich Demokratische Union Deutschlands (CDU) ni moja kati ya vyama viwili vikubwa vya kisiasa nchini Ujerumani. Kinajielezea chenyewe kuwa:

chama cha kisiasa kilicho cha Kikristo, cha kidemokrasia, cha uhuru na cha mapokeo, chenye msimamo wa kati ya eneo la kisiasa.

Mnamo mwezi Novemba katika mwaka wa 2005 Bi. Angela Merkel amepata kuwa Chansela wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kwa kupitia kiti cha chama cha CDU.

Society.svg Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.